atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Kuna tajiri mmoja hapo juu amemwambia hio laki nane ni bajeti ya kula bata weekend tuu na bado haitoshi[emoji23][emoji23]Kubwa sana hiyo ukizingatia kanuni ya heshimu ulichonacho na anza nacho maana kinatosha. Hata ingekuwa laki mbili ukiwa na nia inakupeleka kwenye umilionea.
Ila ukiwasikiliza akina Bakhressa wa JF Republic hata ungesema milioni 10 wangekuambia haitoshi kwani hapa kila mtu ni bilionea atakuambia hiyo laki nane ni hela ya mafuta kwenye Rolls Royce lake kwa siku tatu.