Mtaji wa laki 8 unatosha kufungua biashara ya duka?

Mtaji wa laki 8 unatosha kufungua biashara ya duka?

Kubwa sana hiyo ukizingatia kanuni ya heshimu ulichonacho na anza nacho maana kinatosha. Hata ingekuwa laki mbili ukiwa na nia inakupeleka kwenye umilionea.
Ila ukiwasikiliza akina Bakhressa wa JF Republic hata ungesema milioni 10 wangekuambia haitoshi kwani hapa kila mtu ni bilionea atakuambia hiyo laki nane ni hela ya mafuta kwenye Rolls Royce lake kwa siku tatu.
Kuna tajiri mmoja hapo juu amemwambia hio laki nane ni bajeti ya kula bata weekend tuu na bado haitoshi[emoji23][emoji23]
 
Kuna tajiri mmoja hapo juu amemwambia hio laki nane ni bajeti ya kula bata weekend tuu na bado haitoshi[emoji23][emoji23]
Tajiri hawanaga majigambo ni akina sisi unga unga mwana, ukipata walau milioni kadhaa dharau kibao. Afu kumbe mnuka mbupu na kinywa.
 
Kuna vtu unatakiwa ujue kuvitofautisha af ndo uendelee kuna
Duka
Kibanda
Genge
Kioski
Mlanguzi wa mazao au bidhaa
Ivyo ni vtu vitano tofauti
Kibanda genge kioski iyo pesa inatosha ila kwa duka siwez sema inatosha au laah

Mambo ya mkoa gan au wilaya gan izo ni swaga tu duka linaprocess zake za kufuata ili ufungue duka

Kuna pango la chumba
Kuna Leseni
Kuna TRA
Kuna mzgo wa kuanzia biashara
 
Gas faiďa yake kwa mtungi mdogo ni shingapi
Faida elekezi ni 2,500 kwa kila mtungi kwa upande wa kujaza kila kampuni, upande wa complete inavuta faida kuanzia elfu 5 kuendelea inategemea na eneo
 
Mkuu hio 800k ndo bajeti yangu ya weekend kulia Bata na haitoshi kiufupi we ni mchimba chumvi nenda kule makapuku forum usituharibie weekend
Hatujakuliza kuhusu wewe au sisi tunauliza hivi mtaji wa 800k unafaa kufungua duka??
 
Sikia kuwa mangi tu tafuta framr 40,000 kwa mwezi , uweke mahitaji yote mafuta yakupima , mkaa , mafuta ta kujipaka raphu utaanza na laki 5 ubakize 3 kwa kodi na kuongezea faida
 
Back
Top Bottom