atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Kuna tajiri mmoja hapo juu amemwambia hio laki nane ni bajeti ya kula bata weekend tuu na bado haitoshi[emoji23][emoji23]Kubwa sana hiyo ukizingatia kanuni ya heshimu ulichonacho na anza nacho maana kinatosha. Hata ingekuwa laki mbili ukiwa na nia inakupeleka kwenye umilionea.
Ila ukiwasikiliza akina Bakhressa wa JF Republic hata ungesema milioni 10 wangekuambia haitoshi kwani hapa kila mtu ni bilionea atakuambia hiyo laki nane ni hela ya mafuta kwenye Rolls Royce lake kwa siku tatu.
Siku shemeji anakula kalanga yeye roho juu..Ukute anasubiria ugali kwa dada
Wacha ulimbukeni.Mkuu hio 800k ndo bajeti yangu ya weekend kulia Bata na haitoshi kiufupi we ni mchimba chumvi nenda kule makapuku forum usituharibie weekend
Tajiri hawanaga majigambo ni akina sisi unga unga mwana, ukipata walau milioni kadhaa dharau kibao. Afu kumbe mnuka mbupu na kinywa.Kuna tajiri mmoja hapo juu amemwambia hio laki nane ni bajeti ya kula bata weekend tuu na bado haitoshi[emoji23][emoji23]
Unajiona mtuu sanaaaMkuu hio 800k ndo bajeti yangu ya weekend kulia Bata na haitoshi kiufupi we ni mchimba chumvi nenda kule makapuku forum usituharibie weekend
hajauliza kama ni bajeti yako ameuliza kama anaweza kufungua duka kwa mtaji wa lak8Mkuu hio 800k ndo bajeti yangu ya weekend kulia Bata na haitoshi kiufupi we ni mchimba chumvi nenda kule makapuku forum usituharibie weekend
Muache hajui Mungu aliyempa yy gunia la sukari ndio huyo huyo aliyekunyima ww kijiko cha sukari!!Siyo majibu ya kiungwana ndugu yangu
Unauza nini?Nilifanyia kazi ushauri wako na leo nimerejea kukushukuru kaka nimejipata asee japo kwa kiwango kidogo
Unaweza, inategemea duka la nini.Nina mtaji wa laki 8, inatosha kufungua biashara ya duka na nikapata kukidhi mahitaji yangu na maendeleo kwa ujumla?
Naombeni Ushauri Wana jf kwenye suala hili
Gas faiďa yake kwa mtungi mdogo ni shingapiNauza gas kaka na nilishaweka vitu vingine now ni duka gas za Kutosha kampuni zote
Hatujakuliza kuhusu wewe au sisi tunauliza hivi mtaji wa 800k unafaa kufungua duka??Mkuu hio 800k ndo bajeti yangu ya weekend kulia Bata na haitoshi kiufupi we ni mchimba chumvi nenda kule makapuku forum usituharibie weekend
Sijui nani vile ila tutamchambaSi ndo jamaa sijui anajikuta nani vile