Mtaji wa laki 8 unatosha kufungua biashara ya duka?

Haitoshi labda uuze viberiti maji ya uhai,kreti chache za soda chumvi ya neel,sabuni za miatano mafuta ya kupikia ya vibaba na vigine vya kufanana na hivyo.
Watu wanauza hivo ulivotaja na wanalea familia zao,hawalii njaa
 
Inaweza ikatosha Mkuu ila nakushauri uza bidhaa zifuatazo:
  • K Vant (yakupima)
  • Konyagi chupa kubwa (yakupima)
  • Sigara aina zote
  • Diamond (chupa na kupima)
  • Kiwingu (chupa na kupima)

location yako iw karibu na club, pub, stend, danguro, uchochoro wa malaya.

Muda ni 24hrs

NB: Usije kutamani hao malaya na kubana kete.
 
unaweza ila muda wote uwe unasikiliza ule wimbo wa
"kazi yangu ya dukaniii inaniweka matatanii 🎶
wanao nirudisha nyuma wengi wao majiranii🎶
 
Haitoshi labda uuze viberiti maji ya uhai,kreti chache za soda chumvi ya neel,sabuni za miatano mafuta ya kupikia ya vibaba na vigine vya kufanana na hivyo.
Very smart, ....ni-pm no yako nikupoze na chochote kitu😂
 
Inategemea ni duka la bidhaa zipi, nadhan inaweza ikatosha au isitoshe kutokana na aina ya bidhaa unazotegemea kuzinunua/kuuza dukani mwako
 
Mkuu hio 800k ndo bajeti yangu ya weekend kulia Bata na haitoshi kiufupi we ni mchimba chumvi nenda kule makapuku forum usituharibie weekend
Mkuu unajiona umejipata
 
Hili nalo ni neno kuntu chuma ulete
 
Nilifanyia kazi ushauri wako na leo nimerejea kukushukuru kaka nimejipata asee japo kwa kiwango kidogo
Kwa mtaji ule ule kama wako tupe mchanganuo hapa wa kuuza gesi najua umeshakuwa mzoefu wa bei na namna ya uuzaji
 
TTuelekeze mtaji wa mitungu ya gesi na jinsi ya kuwapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…