Mtaji wa laki 8 unatosha kufungua biashara ya duka?

Mtaji wa laki 8 unatosha kufungua biashara ya duka?

Haitoshi labda uuze viberiti maji ya uhai,kreti chache za soda chumvi ya neel,sabuni za miatano mafuta ya kupikia ya vibaba na vigine vya kufanana na hivyo.
Watu wanauza hivo ulivotaja na wanalea familia zao,hawalii njaa
 
Inaweza ikatosha Mkuu ila nakushauri uza bidhaa zifuatazo:
  • K Vant (yakupima)
  • Konyagi chupa kubwa (yakupima)
  • Sigara aina zote
  • Diamond (chupa na kupima)
  • Kiwingu (chupa na kupima)

location yako iw karibu na club, pub, stend, danguro, uchochoro wa malaya.

Muda ni 24hrs

NB: Usije kutamani hao malaya na kubana kete.
 
unaweza ila muda wote uwe unasikiliza ule wimbo wa
"kazi yangu ya dukaniii inaniweka matatanii 🎶
wanao nirudisha nyuma wengi wao majiranii🎶
 
Haitoshi labda uuze viberiti maji ya uhai,kreti chache za soda chumvi ya neel,sabuni za miatano mafuta ya kupikia ya vibaba na vigine vya kufanana na hivyo.
Very smart, ....ni-pm no yako nikupoze na chochote kitu😂
 
Kuna vtu unatakiwa ujue kuvitofautisha af ndo uendelee kuna
Duka
Kibanda
Genge
Kioski
Mlanguzi wa mazao au bidhaa
Ivyo ni vtu vitano tofauti
Kibanda genge kioski iyo pesa inatosha ila kwa duka siwez sema inatosha au laah

Mambo ya mkoa gan au wilaya gan izo ni swaga tu duka linaprocess zake za kufuata ili ufungue duka

Kuna pango la chumba
Kuna Leseni
Kuna TRA
Kuna mzgo wa kuanzia biashara
Inategemea ni duka la bidhaa zipi, nadhan inaweza ikatosha au isitoshe kutokana na aina ya bidhaa unazotegemea kuzinunua/kuuza dukani mwako
 
Mkuu hio 800k ndo bajeti yangu ya weekend kulia Bata na haitoshi kiufupi we ni mchimba chumvi nenda kule makapuku forum usituharibie weekend
Mkuu unajiona umejipata
 
Kama mtu hajawahi kuthubutu kufanya biashara atadharau sana hyo 800k but inatosha sana ila sijajua ni mkoa gani au wilaya gani uliopo ukitoa kodi ya pango na lesen ya biashara hyo pesa kwa mahitaj madogo ya nyumban unaweza ukaenda kufunga mzigo mpaka ukabaki unashangaa ila mtihani inabaki tu kwenye kuuza na chamgamoto za biashara ya eneo husika.
Nakumbuka mm kipnd naanza biashara ya kuchukua mazao (mchele) kuna jamaa nilimuuliza kama naweza nikaanza na kiac gan weng waliniambia hyo biashara ni ya wapemba wenye mitaji mikubwa sana so ckukata tamaa nilienda kwenye maeneo wanakolima usangu, ifakara ndio nikajua kumbe ata 2M ni nying sana kwa kukuzia mtaji .
Asilimia kubwa ya wanaokatisha tamaa ni waajiriwa or wanaokula ugali wa shkamoo maana biashara wanasikia tu na kusoma kwa watu ila kiuhalisia biashara mtaji sio ishu sans iwe kubwa ila discpline za kutatua changamoto ndio kazi haswaaa.
# Usisahau CHUMA ULETE kwenye duka kama una iman ya MUNGU sali sana ila zaid ya hapo kuwa makn sana na vishiling na siku hz kuna note 1 tu inaweza ikakuliza hzo hasa dar, makambako, tunduma ndio zmejaa sana.
Hili nalo ni neno kuntu chuma ulete
 
Nilifanyia kazi ushauri wako na leo nimerejea kukushukuru kaka nimejipata asee japo kwa kiwango kidogo
Kwa mtaji ule ule kama wako tupe mchanganuo hapa wa kuuza gesi najua umeshakuwa mzoefu wa bei na namna ya uuzaji
 
TTuelekeze mtaji wa mitungu ya gesi na jinsi ya kuwapata
 
Back
Top Bottom