Mtaji wa laki 8 unatosha kufungua biashara ya duka?

A child

Member
Joined
May 25, 2017
Posts
28
Reaction score
25
Nina mtaji wa laki 8, inatosha kufungua biashara ya duka na nikapata kukidhi mahitaji yangu na maendeleo kwa ujumla?

Naombeni Ushauri Wana jf kwenye suala hili
 
Ndio....duka la meno ya tembo na ngozi za chui
 
Haitoshi labda uuze viberiti maji ya uhai,kreti chache za soda chumvi ya neel,sabuni za miatano mafuta ya kupikia ya vibaba na vigine vya kufanana na hivyo.
 
Hiyo pesa ni nyingi sana. Tafuta eneo zuri, anzisha biashara ya bidhaa za nyumbani kama matunda, mboga za majani, maharage, unga, mchele, viungo, viazi, chumvi, viberiti, maji, mkaa, nk.

Mzunguko wa hizi bidhaa ni mkubwa sana, hasa maeneo ya uswahili kwenye idadi kubwa ya watu wa hali ya kawaida.
 
Kama mtu hajawahi kuthubutu kufanya biashara atadharau sana hyo 800k but inatosha sana ila sijajua ni mkoa gani au wilaya gani uliopo ukitoa kodi ya pango na lesen ya biashara hyo pesa kwa mahitaj madogo ya nyumban unaweza ukaenda kufunga mzigo mpaka ukabaki unashangaa ila mtihani inabaki tu kwenye kuuza na chamgamoto za biashara ya eneo husika.
Nakumbuka mm kipnd naanza biashara ya kuchukua mazao (mchele) kuna jamaa nilimuuliza kama naweza nikaanza na kiac gan weng waliniambia hyo biashara ni ya wapemba wenye mitaji mikubwa sana so ckukata tamaa nilienda kwenye maeneo wanakolima usangu, ifakara ndio nikajua kumbe ata 2M ni nying sana kwa kukuzia mtaji .
Asilimia kubwa ya wanaokatisha tamaa ni waajiriwa or wanaokula ugali wa shkamoo maana biashara wanasikia tu na kusoma kwa watu ila kiuhalisia biashara mtaji sio ishu sans iwe kubwa ila discpline za kutatua changamoto ndio kazi haswaaa.
# Usisahau CHUMA ULETE kwenye duka kama una iman ya MUNGU sali sana ila zaid ya hapo kuwa makn sana na vishiling na siku hz kuna note 1 tu inaweza ikakuliza hzo hasa dar, makambako, tunduma ndio zmejaa sana.
 
Tueleze vizuri hiyo noti moja inakuwaje?
 
Kubwa sana hiyo ukizingatia kanuni ya heshimu ulichonacho na anza nacho maana kinatosha. Hata ingekuwa laki mbili ukiwa na nia inakupeleka kwenye umilionea.
Ila ukiwasikiliza akina Bakhressa wa JF Republic hata ungesema milioni 10 wangekuambia haitoshi kwani hapa kila mtu ni bilionea atakuambia hiyo laki nane ni hela ya mafuta kwenye Rolls Royce lake kwa siku tatu.
 
Kama mtu hajawahi kuthubutu kufanya biashara atadharau sana hyo 800k but inatosha sana ila sijajua ni mkoa gani au wilaya gani uliopo ukitoa kodi ya pango na lesen ya biashara hyo pesa kwa mahitaj madogo ya nyumban unaweza ukaenda kufunga mzigo mpaka ukabaki unashangaa ila mtihani inabaki tu kwenye kuuza na chamgamoto za biashara ya eneo husika.
Nakumbuka mm kipnd naanza biashara ya kuchukua mazao (mchele) kuna jamaa nilimuuliza kama naweza nikaanza na kiac gan weng waliniambia hyo biashara ni ya wapemba wenye mitaji mikubwa sana so ckukata tamaa nilienda kwenye maeneo wanakolima usangu, ifakara ndio nikajua kumbe ata 2M ni nying sana kwa kukuzia mtaji .
Asilimia kubwa ya wanaokatisha tamaa ni waajiriwa or wanaokula ugali wa shkamoo maana biashara wanasikia tu na kusoma kwa watu ila kiuhalisia biashara mtaji sio ishu sans iwe kubwa ila discpline za kutatua changamoto ndio kazi haswaaa.
# Usisahau CHUMA ULETE kwenye duka kama una iman ya MUNGU sali sana ila zaid ya hapo kuwa makn sana na vishiling na siku hz kuna note 1 tu inaweza ikakuliza hzo hasa dar, makambako, tunduma ndio zmejaa sana.
Mkuu nakuomba eleza vizuri tafadhali kuhusu hiyo noti.
 
Back
Top Bottom