kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
Mkuu Nakushauri Uendelee kukopesha ila kwa njia tofauti, mtu akitaka laki mkopeshe yeye aweke bondi kitu chake chenye thamani zaidi. Uwe na ofisi ambapo watu watakuwa wanakupatia, Tengeneza mkataba maalumu, mtu akivusha tu muda wa kulipa uza kitu chake kwa faida kazi yako iendelee, Usikopeshe bila bondi.Wadau nina mtaji wa milioni 3 unatoka na kazi ya kukopesha vyombo nifanye biashara gani maana hasa hivi wakopaji wamekuwa wasumbufu hawalipi na nimefanya miaka 5 nataka nifanye biashara nyingine usito husiana na mikopo nipo Dar gongo la mboto
Nilitamani biashara ya kuuza sendo zile za wanaume dior au viainishi vya magariKatika huko kukopesha watu, ni kwamba ulikuwa unatembelea maeneo tofauti tofauti. Hujaona au kujifunza biashara yeyote tofauti na yako?
Je wewe unapenda nini zaidi au ulitamani kufanya nini, ukipata mtaji zaidi ya 1m. Tuanzie hapo kwanza...
Mikopo usumbufu hapanaMkuu Nakushauri Uendelee kukopesha ila kwa njia tofauti, mtu akitaka laki mkopeshe yeye aweke bondi kitu chake chenye thamani zaidi. Uwe na ofisi ambapo watu watakuwa wanakupatia, Tengeneza mkataba maalumu, mtu akivusha tu muda wa kulipa uza kitu chake kwa faida kazi yako iendelee, Usikopeshe bila bondi.
Sasa anzia hapo, fanyia utafiti hizo biashara. Ujue changamoto zake, mtaji kiasi gani, wateja wake.Nilitamani biashara ya kuuza sendo zile za wanaume dior au viainishi vya magari
Maana sihitaji fremu nahitaji hizi sendo niuzie maeneo ya rangi 3 au kigamboni vituo vya mabusSasa anzia hapo, fanyia utafiti hixo biashara. Ujue changamoto zake, mtaji kiasi gani, wateja wake.
Pia mwambie akiwa tayr kuanza hzo biashara asiweke pesa yotee....aweke ata robo ya mtajiSasa anzia hapo, fanyia utafiti hizo biashara. Ujue changamoto zake, mtaji kiasi gani, wateja wake.
SawaPia mwambie akiwa tayr kuanza hzo biashara asiweke pesa yotee....aweke ata robo ya mtaji
Kulima au kununua mazao mkuuNjoo kwenye kilimo
Kulima au kununua mazao mkuu
Kalime karanga, alizeti au funga sungura ukauze Russia ukiwa serious miaka miwili inatosha kuwa millionea.Wadau nina mtaji wa milioni 3 unatoka na kazi ya kukopesha vyombo nifanye biashara gani maana hasa hivi wakopaji wamekuwa wasumbufu hawalipi na nimefanya miaka 5. Nataka nifanye biashara nyingine usiyohusiana na mikopo. Nipo Dar Gongo la Mboto.
Mkoa gani mazao ganiNimeandika neno kilimo, njoo tulime mkuu
Hii nzuri nilikuwa naiwaza hivi bei gani mashineNunua mashine ya Juisi ya miwa, tafuta kijana piga naye kazi.
Hiyo biashara ya kukopesha vyombo wanaiweza waha pekee na wamesambaa Tanzania nzima.Wadau nina mtaji wa milioni 3 unatoka na kazi ya kukopesha vyombo nifanye biashara gani maana hasa hivi wakopaji wamekuwa wasumbufu hawalipi na nimefanya miaka 5. Nataka nifanye biashara nyingine usiyohusiana na mikopo. Nipo Dar Gongo la Mboto.
Wanasumbua sana halafu haupigi hatuaKukopesha watu ni kazi sana, wasumbufu kulipa inatakiwa uweje sijui, pole.