Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Biashara ya kukopesha inatakiwa uwe na mtaji wa kutoshaWadau nina mtaji wa milioni 3 unatoka na kazi ya kukopesha vyombo nifanye biashara gani maana hasa hivi wakopaji wamekuwa wasumbufu hawalipi na nimefanya miaka 5. Nataka nifanye biashara nyingine usiyohusiana na mikopo. Nipo Dar Gongo la Mboto.