Mtaji wa milioni 3 nifanye biashara gani? Nilikuwa nakopesha vyombo, wakopaji wasumbufu kulipa

Mtaji wa milioni 3 nifanye biashara gani? Nilikuwa nakopesha vyombo, wakopaji wasumbufu kulipa

Vi
me nakushauli fanya biashara ya vitu vya kike ndio vinatoka sana ..cha muhim ni pata location nzuli ambapo kuna watu wengi na pia deal na bidhaa za watu wa hali ya kawaida then ukikua unaweza chagua wewe mwenyewe zaidi , ila bidhaa za kiume kausha kwanza mana apaa nina aproach mwaka kasoro na sendo yangu Moja na mpaka sasa sina dalili zakutafuta mpya ila bibie nafikili anaelekea pair ya 70 uko 😁😁
Vipi za watoto?
 
Wadau nina mtaji wa milioni 3 unatoka na kazi ya kukopesha vyombo nifanye biashara gani maana hasa hivi wakopaji wamekuwa wasumbufu hawalipi na nimefanya miaka 5. Nataka nifanye biashara nyingine usiyohusiana na mikopo. Nipo Dar Gongo la Mboto.
Nataka sufuria mbili na chupa ya chai sufuria moja nalipa cash
 
Fanya utafiti kabla ya kufanya biashara yoyote ingawa sio guarantee ya kufanikiwa but itapunguza risks
 
Fanya Biashara ya Asali kama ifuatavyo:-
Gharama ni 170,000
1- utapata chupa 20 za lita moja moja zikiwa well packaged.
2. Utapokea mzigo Mbezi Stand

Ww uza chupa bei ya kutupa moja elf 12
( 12000X 20 = 240,000)
240,000 -170,000 = 70000 net profit kwa mtaji wa 170K only.

Asali ni OG Toka Tabora haina ata Tone la maji waweza nicheck inbox kwa maelezo zaidi
mkuu naomba mawasilano na mahali unipo,tabora
 
HOngera kwa kuwa na mtaji mzuri ,pia ni ngumu kupata biashara inayo lipa then haina hasara kwa karne hii tuliyo nayo.
Ushauri wangu fanya biashara ya dagaa wakavu kutoka ziwa victoria kupeleka mikoani maana hii ni biashara ambayo una deal na mahitaji muhimu kwa binadamu (chakula) automatically una deal na population kubwa ya watu wenye uchumi wa kati na chini ambao ndio watumiaji wengi wa hiki chakula.

Hivyo kwa vile wewe hutakuwa mzoefu kwenye hii biashara anza na kiasi ili kujua changamoto ndogo ndogo za kazi pia kwa vile wewe una mtaji utauza kwa bei ya jumla kwa kuwauzia wanao enda kuuza .ukikomaa hutojutia na hii kazi.
Mimi nauza dagaa pia hapa MWANZA KIRUMBA(MWALONI) soko la kimataifa dagaa na samaki.0657886964
PIGA SIMU;
 
Afanya biashara ambayo hahitaji kuvaa tai kumbe hizi biashara za kawaida Ndiyo zina lipa
 
Back
Top Bottom