Euphra
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 522
- 1,082
Muda hauna mdomo kamanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda hauna mdomo kamanda
Mkuu nimependa wazo lako nadhan ntakutafta tuyajenge. Japo kufanya kazi kwa kuungana watu wawili ina changamoto sanaNa me nipo Goms hapa, njoo tuungane tufungue Car wash ya kisasa hapa Mombasa
Vipi za watoto?me nakushauli fanya biashara ya vitu vya kike ndio vinatoka sana ..cha muhim ni pata location nzuli ambapo kuna watu wengi na pia deal na bidhaa za watu wa hali ya kawaida then ukikua unaweza chagua wewe mwenyewe zaidi , ila bidhaa za kiume kausha kwanza mana apaa nina aproach mwaka kasoro na sendo yangu Moja na mpaka sasa sina dalili zakutafuta mpya ila bibie nafikili anaelekea pair ya 70 uko 😁😁
MhmhNiambie tarehe yako ya kuzaliwa na mwezi wako wa kuzaliwa nitakwambia biashara ipi ufanye itakayoweza kukunyanyua ukawa ni tajiri kwa muda sio mrefu kuanzia sasa.
Nataka sufuria mbili na chupa ya chai sufuria moja nalipa cashWadau nina mtaji wa milioni 3 unatoka na kazi ya kukopesha vyombo nifanye biashara gani maana hasa hivi wakopaji wamekuwa wasumbufu hawalipi na nimefanya miaka 5. Nataka nifanye biashara nyingine usiyohusiana na mikopo. Nipo Dar Gongo la Mboto.
Unalipa bukubukuNataka sufuria mbili na chupa ya chai sufuria moja nalipa cash
Ww mzizimkavu I seeNiambie tarehe yako ya kuzaliwa na mwezi wako wa kuzaliwa nitakwambia biashara ipi ufanye itakayoweza kukunyanyua ukawa ni tajiri kwa muda sio mrefu kuanzia sasa.
mkuu naomba mawasilano na mahali unipo,taboraFanya Biashara ya Asali kama ifuatavyo:-
Gharama ni 170,000
1- utapata chupa 20 za lita moja moja zikiwa well packaged.
2. Utapokea mzigo Mbezi Stand
Ww uza chupa bei ya kutupa moja elf 12
( 12000X 20 = 240,000)
240,000 -170,000 = 70000 net profit kwa mtaji wa 170K only.
Asali ni OG Toka Tabora haina ata Tone la maji waweza nicheck inbox kwa maelezo zaidi
Afanya biashara ambayo hahitaji kuvaa tai kumbe hizi biashara za kawaida Ndiyo zina lipaHOngera kwa kuwa na mtaji mzuri ,pia ni ngumu kupata biashara inayo lipa then haina hasara kwa karne hii tuliyo nayo.
Ushauri wangu fanya biashara ya dagaa wakavu kutoka ziwa victoria kupeleka mikoani maana hii ni biashara ambayo una deal na mahitaji muhimu kwa binadamu (chakula) automatically una deal na population kubwa ya watu wenye uchumi wa kati na chini ambao ndio watumiaji wengi wa hiki chakula.
Hivyo kwa vile wewe hutakuwa mzoefu kwenye hii biashara anza na kiasi ili kujua changamoto ndogo ndogo za kazi pia kwa vile wewe una mtaji utauza kwa bei ya jumla kwa kuwauzia wanao enda kuuza .ukikomaa hutojutia na hii kazi.
Mimi nauza dagaa pia hapa MWANZA KIRUMBA(MWALONI) soko la kimataifa dagaa na samaki.0657886964
PIGA SIMU;