Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Biashara ya kukopesha inatakiwa uwe na mtaji wa kutoshaWadau nina mtaji wa milioni 3 unatoka na kazi ya kukopesha vyombo nifanye biashara gani maana hasa hivi wakopaji wamekuwa wasumbufu hawalipi na nimefanya miaka 5. Nataka nifanye biashara nyingine usiyohusiana na mikopo. Nipo Dar Gongo la Mboto.
Kukopesha hapanaBiashara ya kukopesha inatakiwa uwe na mtaji wa kutosha
Unamuingiza chaka! Akipunwa?...Uandishi nao shida tu , hio million 3 tafuta odds tano za uhakika kisha beti , usisahau kuja kushukuru
me nakushauli fanya biashara ya vitu vya kike ndio vinatoka sana ..cha muhim ni pata location nzuli ambapo kuna watu wengi na pia deal na bidhaa za watu wa hali ya kawaida then ukikua unaweza chagua wewe mwenyewe zaidi , ila bidhaa za kiume kausha kwanza mana apaa nina aproach mwaka kasoro na sendo yangu Moja na mpaka sasa sina dalili zakutafuta mpya ila bibie nafikili anaelekea pair ya 70 uko 😁😁Nilitamani biashara ya kuuza sendo zile za wanaume dior au viainishi vya magari
[emoji14][emoji14][emoji14] ila wanawake wanakopa balaame nakushauli fanya biashara ya vitu vya kike ndio vinatoka sana ..cha muhim ni pata location nzuli ambapo kuna watu wengi na pia deal na bidhaa za watu wa hali ya kawaida then ukikua unaweza chagua wewe mwenyewe zaidi , ila bidhaa za kiume kausha kwanza mana apaa nina aproach mwaka kasoro na sendo yangu Moja na mpaka sasa sina dalili zakutafuta mpya ila bibie nafikili anaelekea pair ya 70 uko [emoji16][emoji16]
Maeneo gani inahitaji mtaji kiasi ganiNa me nipo Goms hapa, njoo tuungane tufungue Car wash ya kisasa hapa Mombasa
Kuna eneo moja hapo kituo cha madafu nalifuatilia japo naona kuna mtu analitaka pia. Mtaji wa Car wash ya kiwango nakadiria kwenye M5 hivi. Japo kwa huo mtaji wako wa M 3 unaweza ukaanza pia Solely.Maeneo gani inahitaji mtaji kiasi gani
Sema car wash mtu mpka wiki ndio unaosha gari ila iko poaKuna eneo moja hapo kituo cha madafu nalifuatilia japo naona kuna mtu analitaka pia. Mtaji wa Car wash ya kiwango nakadiria kwenye M5 hivi. Japo kwa huo mtaji wako wa M 3 unaweza ukaanza pia Solely.
Ukiweza pia jaribu kutafta eneo la ufungue banda la mpira kibanda umiza ni biashara nzuri sanaa kwa sasa. Keep i mind, biashara za huduma ni nzuri zaidi zina Risk ndogo
Wadau nina mtaji wa milioni 3 unatoka na kazi ya kukopesha vyombo nifanye biashara gani maana hasa hivi wakopaji wamekuwa wasumbufu hawalipi na nimefanya miaka 5. Nataka nifanye biashara nyingine usiyohusiana na mikopo. Nipo Dar Gongo la Mboto.
Ndio vyitu vya kike sawame nakushauli fanya biashara ya vitu vya kike ndio vinatoka sana ..cha muhim ni pata location nzuli ambapo kuna watu wengi na pia deal na bidhaa za watu wa hali ya kawaida then ukikua unaweza chagua wewe mwenyewe zaidi , ila bidhaa za kiume kausha kwanza mana apaa nina aproach mwaka kasoro na sendo yangu Moja na mpaka sasa sina dalili zakutafuta mpya ila bibie nafikili anaelekea pair ya 70 uko 😁😁
Mkuu unalima kwa sasa?Njoo kwenye kilimo
Wewe muongozo wako upo wapi?😎
Niambie tarehe yako ya kuzaliwa na mwezi wako wa kuzaliwa nitakwambia biashara ipi ufanye itakayoweza kukunyanyua ukawa ni tajiri kwa muda sio mrefu kuanzia sasa.Wadau nina mtaji wa milioni 3 unatoka na kazi ya kukopesha vyombo nifanye biashara gani maana hasa hivi wakopaji wamekuwa wasumbufu hawalipi na nimefanya miaka 5. Nataka nifanye biashara nyingine usiyohusiana na mikopo. Nipo Dar Gongo la Mboto.
Kutoka kukopesha vyombo hadi kukopesha fedha!!!Mkuu Nakushauri Uendelee kukopesha ila kwa njia tofauti, mtu akitaka laki mkopeshe yeye aweke bondi kitu chake chenye thamani zaidi. Uwe na ofisi ambapo watu watakuwa wanakupatia, Tengeneza mkataba maalumu, mtu akivusha tu muda wa kulipa uza kitu chake kwa faida kazi yako iendelee, Usikopeshe bila bondi.