Lyugi sana
Member
- Dec 11, 2020
- 31
- 19
Nina pesa kama nilivyoiainisha hapo juu,
Na ninahitaji kufanya biashara ya duka la dawa na sina kitu hata kimoja zaidi ya pesa yangu mfukoni. Je, nikianza harakati sitoishia njiani?
Zaidi soma:
www.jamiiforums.com
Na ninahitaji kufanya biashara ya duka la dawa na sina kitu hata kimoja zaidi ya pesa yangu mfukoni. Je, nikianza harakati sitoishia njiani?
Zaidi soma:
Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara
Wakuu nina maswali kadhaa kuhusu hii biashara. Je, ninahitaji vibali gani? Na vinapatikana katika ofisi zipi na pia itakuwa msaada sana kama itawezekana kuweka gharama zinazolipwa kwa kila kibali. Je, mtaji kiasi unatosha kufungua biashara hii. Natanguliza shukrani zangu. WADAU WENGINE...