Mtaji wa milioni 45 napata faida ya 500,000 baada ya siku14 ni sawa?

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habari wakuu Kuna biashara nafanya ambayo mtaji waki ni milioni 45 lakini faida Yake napata laki tano ndani siku 14
Hadi mzingo unakua umeisha.

Je hii nisahihi kuendelea kuifanya kwa faid la ya laki tano kwa mtani huo au napoteza muda?

Ushauri wenu mtupe namchongo wabiashara za faida kubwa zaidi
 
Inategemea na leverage pamoja na magnitude ya hiyo biashara yenyewe... Kama inauwezo wa kukua na kusambaa basi ni mwanzo mzuri.
 
Mbona hela nzuri tuu hiyo.
 
Unatakiwa ushukuru. Maana kuna wenzako wamewekeza kwenye majengo mamilioni ya shilingi, kila siku ni kuwindana tu na wapangaji kwenye kodi! Halafu kodi yenyewe haina kabisa uhalisia na thamani ya majengo husika.
 
 
HADITHI ZA JF ZIMERUDI TENA...
 
Biashara nzuri.

Kwa mwezi Mil 1.

Kwa mwaka Mil 12.

So miaka 4 mzigo umerudi 100%

Sorry naomba kuuliza, hiyo biasshara haikui!?
Haina muelekeo wa kukua zaid itapungua washindani wataomgezeka
 
Mtu mwenye mtaji wa milion kumi na 5, akiwa naline za uwakala 4 awe na mshine na nmb na crdb sehemu yenye mzunguko kwa mwezi anaweza pata milion 1 au 2 .hiyo sio baisara rafiki bosi .


Unalipa kodi sh ngapi?

Wafanyakazi unawalipa sha ngapi?


Gharama za kujiendesha baishara je?

Ww faida yako nn?


Kama ww una kipato kingine nje ya hii biashara sawa lkn kama unategea hapo kusomesha , kuhudumia familia hasa ukiwa umeowa unakuwa na familia 3 ww mwenye ukweni na nyumani kwako, fanya kitu kingine broo,


Karibu mp tukupe madini
 
Kama haina ukuaji maana yake hapo unachofaidi ni kuwa na risk ndogo tu and nothing else.


45M kupata faida million 1 Kwa mwezi ndogo Sana mkuu.

Kuna Biashara nyingi ambazo returning yake ni nzuri Sana jaribu kufikiria huko pia .
Kama biashara zipi hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…