MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Mtu kama huyu aliipataje hiyo 45m? Au urithi?Asante sana kwa kumwambia ukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu kama huyu aliipataje hiyo 45m? Au urithi?Asante sana kwa kumwambia ukweli.
Mtaji = 45milHabari wakuu Kuna biashara nafanya ambayo mtaji waki ni milioni 45 lakini faida Yake napata laki tano ndani siku 14
Hadi mzingo unakua umeisha.
Je hii nisahihi kuendelea kuifanya kwa faid la ya laki tano kwa mtani huo au napoteza muda?
Ushauri wenu mtupe namchongo wabiashara za faida kubwa zaidi
Hio faida ni mali ya biashara yako. Wewe binafsi mshahara wako ni mil ngapi? Au wewe hauna mshahara unategemea hio faida?Habari wakuu Kuna biashara nafanya ambayo mtaji waki ni milioni 45 lakini faida Yake napata laki tano ndani siku 14
Hadi mzingo unakua umeisha.
Je hii nisahihi kuendelea kuifanya kwa faid la ya laki tano kwa mtani huo au napoteza muda?
Ushauri wenu mtupe namchongo wabiashara za faida kubwa zaidi
Kama inatunza mtaji, na haichukui 100% ya muda wako, let say inajiendesha pasipo uwepo wapo sana, sio biashara mbaya sana...Habari wakuu Kuna biashara nafanya ambayo mtaji waki ni milioni 45 lakini faida Yake napata laki tano ndani siku 14
Hadi mzingo unakua umeisha.
Je hii nisahihi kuendelea kuifanya kwa faid la ya laki tano kwa mtani huo au napoteza muda?
Ushauri wenu mtupe namchongo wabiashara za faida kubwa zaidi
Mhhhh uongo huoo,Kwa maana ya faida ya 1m per month.
Bado ni biashara nzuri
Mkuu ishu za mazao msimu kwa msimu unakuza mtajiMtu kama huyu aliipataje hiyo 45m? Au urithi?
Angalau 10% iwe net profitMtaji = 45mil
Faida = 500,000
Ukichukua 500,000/45,000,000x100% = 1.11%
Yaani Profit Margin ni 1.1%.
Mkuu hapo hamna biashara, unapoteza muda.
Ingefika walau 30% ningesema walau hiyo biashara ni sustainable!
Maajabu ya Dunia!Mtu kama huyu aliipataje hiyo 45m? Au urithi?
Sasa si uendelee na hiyo biashara iliyokupa 45m?Mkuu ishu za mazao msimu kwa msimu unakuza mtaji
Kama biashara ni scalable basi mwanzo nzuri sana wengine wanapambana sana kufikia tu break evenHabari wakuu Kuna biashara nafanya ambayo mtaji waki ni milioni 45 lakini faida Yake napata laki tano ndani siku 14
Hadi mzingo unakua umeisha.
Je hii nisahihi kuendelea kuifanya kwa faid la ya laki tano kwa mtani huo au napoteza muda?
Ushauri wenu mtupe namchongo wabiashara za faida kubwa zaidi
We jamaa unavotuko,kama wewe mwenyewe unaona shida kutamka biashara unayofanya lakini unataka watu wewe wakuambia biashara itakayokuingizia 5-6M au sio??Nifanye biashara Gani Sasa mkuu ili nikunje hiyo Hela uisemayo 5-6m
Zitaje!Kama haina ukuaji maana yake hapo unachofaidi ni kuwa na risk ndogo tu and nothing else.
45M kupata faida million 1 Kwa mwezi ndogo Sana mkuu.
Kuna Biashara nyingi ambazo returning yake ni nzuri Sana jaribu kufikiria huko pia .
Ingeleta 10% per month ingekuwa poa sanaMtaji = 45mil
Faida = 500,000
Ukichukua 500,000/45,000,000x100% = 1.11%
Yaani Profit Margin ni 1.1%.
Mkuu hapo hamna biashara, unapoteza muda.
Ingefika walau 30% ningesema walau hiyo biashara ni sustainable!