Mtaji wa milioni moja, naomba wazo la biashara

Asante kaka. Nimelipenda hili!
 
Mkuu April 26 upo kwenye hii biashara, na je vipi biashara vipodozi ukiwa eneo limechangamka kidogo inalipa? Naona una uelewa na hii gemu.
 
We jamaa uko vizuri nimependa idea yako japo ushauri cjaomba mm
 
We jamaa m1 kubwa xana Kama utapata mawazo mazuri na sio mtu wa kuchagua biashara fanya biashara ya matunda kwa mjini Kama dar tafuta stand zilizochangamka
 
1. Tengeneza ki fremu kidogo yaani nunua bati tatu zinatosha kutengeneza, nunua jiko moja la sufuria kubwa na lingine la kuchomea tafuta mtaa ambo unawakazi wengi either n familia nyingi au mabachela ndio wengi.

Amka saa 10:30usiku nenda machinjion nunua utumbo Ng'ombe(Uza kwa kupima Mana tayari una Banda ndio bucha) na mbuzi(Chemsha supu) ukiona wa supu ipo muda umeenda nunua nyanya na kitunguu alafu rosti songs na ugali uuze, ule wa wa kupima ukiona saa jion inakarabia mzigo upo Anza kuuchoma uza kipande kuanzia 200/=


2. Tafuta chimbo la chupi na bra za wadada ingia nazo mitaan sanasana uswaz au mitaa ya wanafunzi

Hzo zote mbili zinatoa super profit yaan unatoa 50k inzalisha 100k nyingine inategemea na wewe na umakini & ushapu wako
 
Umetoa madini mkuu
 
Wazo zuri je hizo bidhaa atapataje hapo Kariakoo kumbuka ni pakubwa na mtu kama huna uzoefu napo ni tatizo lingne
 
Wazo zurinsana Hilo.chukua Hilo Mimi ninauzoefu nayo,inalipa sana
 
Nilitegemea kukuta wazo hili acha na mimi nijifunze hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…