Biashara zote unazizifikiria zitakukata haraka sana. Chukua laki mbili ama tstu chongesha kabati ya alminium ile ya vioo, chukua laki moja nenda sokoni kanunua mchanganyiko wa matunda nanasi, tango, embe, ndizi uthen nunua na disposable pan ama zile bakuri za karatasi ama plastic nunua na nylon foil njoo ukate matunda utafute kijiwe kizuri uanze kuuza salad ya matunda. Utakuwa umetumia si zaidi ya laki 5. Inayobakia mfungulie mzazi mwenzaki kimgahawa kidogo mtaan na ukitaka kutusua mapema ondoka home kama bado kapange chumba na huyo mschana, nakuahidi hautojuta ushauri wanfu.