MTAJI wa ML 50,

MTAJI wa ML 50,

Yegoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2012
Posts
1,432
Reaction score
508
Heshima kwenu ndugu!! Nina mjomba wangu anastaafu mwaka huu! Na pensheni yake itasoma kama Mil 50,hivyo wadau Naomba mchangunuo wenu Wa biashara gani afanye!!!
 
Heshima kwenu ndugu!! Nina mjomba wangu anastaafu mwaka huu! Na pensheni yake itasoma kama Mil 50,hivyo wadau Naomba mchangunuo wenu Wa biashara gani afanye!!!


Ingia kwenye jukwaa la uchumi angalia topic yangu-WAJASILIAMALI GH KWA UWEZO WAKO!

Unaweza chunguza hiyo.
 
Yeye ana idea ya biashara gani?na yuko wapi?

By the way,kilimo ni uti wa mgongo!!!
Atafute mashamba ya umwagiliaji alime.

Pale ruvu patamfaa sana kwa kilimo cha umwagiliaji kama atawekeza kwenye kilimo cha mboga mboga na mahindi mabichi kibiashara.Soko la dar ni zuri sana kwa bidhaa hizo mkuu na hatatumia mtaji mkubwa,akitenga kitu kama 10-15m basi anauwezo wa kuingiza around 30m profit per a year!

But ngoja waje wazoefu zaidi watampa ushauri mzuri.
 
Mkuu CHAI CHUNGU, yeye yuko Mkoa mpya wa Geita! Na Biashara hajawahi kufanya!! Pia asante kwa ushauri wako mzuri!!

Mkuu kajansi ngoja nifatilie uzi wako!!
 
Last edited by a moderator:
anastaafu na anatarajia kupata million 50 akiwa na ninajua kama anastaafu ana miaka 60+ na toka ujana na ubaba mpka uzee hajawahi kufanya biashara yoyote, pilika pilika za business na uvumilivu wa biashara na kujua faida na hasara zikoje ina maana hii hajawahi kukumbana nayo. hii ni changamoto sana kwake inatakiwa mpeni mawazo ya kumsaidia kama familia na ninavyojua sisi waafrica tikuziona hizo 50m kila mtu ataleta matatizo yake,
 
mkuu kabla ya yote zunguka benki zote angalia yenye interest nzuri aweke hizo hela kwenye fixed deposit ya hata miezi 12 ikiwezekana kwenye usd .......kusema ukweli wazee wengi wanakufa na presha kwa kuanza bishara fasta wakipata hela za pensheni .....alafu inapotea .....nimeshuhudia mzee mmoja aliuza nyumba mil 100 akawekeza kwenye vitu vya ajabu leo sidhani hata kama ana mil 5 kwenye a/c...ujasiriamali unataka muda na uvumilivu then mtaji .....wazee wengi hawana muda umri ushaenda wanataka hela tu kukidhi mahitaji yao
 
nunua bond za bot ambapo itagharimu 45million na interest ni hadi 10 percent kwa mwaka


Kwa umri alionao na kutokuwa na experience ya biashara, hii nadhani ingekuwa bora kwake- akipata hiyo minterest yake anaweza kujipangia kutumia 375,000 kwa mwezi maisha yakasogea
 
I think hiyo ya bond nayo inaweza kuwa option nzuri 10% rate nzuri hiyo mkuu ......
 
nunua bond za bot ambapo itagharimu 45million na interest ni hadi 10 percent kwa mwaka

mkuu kama interest ni 10% naunga mkono hoja kwa 200% ataishi maisha yake vizuri ya kila mwezi atakuwa anapata chochote na ukizingatia kwa umri huo hatakuwa na watoto wadogo wa kuwasomesha bali atakuwa na vijana wakubwa ambao ninavyojua wanaitamani pension ya baba yao bila kufuatilia vya kwao, wazee wengi hufa mapema baada ya kustaafu kwa sababu pesa wanazopata huisha mapema na kutokujua la kufanya,biashara ni stress na kwa mazingira ya hapa kwetu ni magumu sana sio kila mtu kazaliwa kuwa mjasiriamali hilo walitambue
 
[h=2][/h]
quote_icon.png
By Narubongo
mkuu naomba ufafanuzi wa hii kitu (imenivutia)



yeah hii ya bond nami imenivutia kweli....​




Bond hutolewa na serikali ama kampuni ikiwa kuna uhitaji wa pesa kwa ajili ya miradi,na hiyo pesa unayonunua bond ni kama umewakopesha serikali ama kampuni inayotoa bond na watakuwa wanakupa interest kutegemea na lini watakurudishia.Bonds huwa zinafikia stage inaitwa maturity yaani kukua,maana yake ikikuwa ni kwamba wanakurudishia pesa yako yote uliyotoa.na huwa ni kuanzia miezi 3 hadi miaka 10 inategemea na wewe mahitaji yako na BOT wametangaza wanauza zipi.kuna Bond za aina mbili 1.treasury bills 2. Treasury bonds
Treasury Bills zinatolewa zikiwa na maturities ya siku 91, 182 and 364 na minimum investment ya TZS 500,000. treasury Bonds zinatolewa kwa maturityya miaka 2, 5,7 hadi 10 na zinahitaji minimum investment of TZS 1 million. na interest unapewa kila baada ya miezi 6,
 
KIAMBATANISHO IFomu ya Benki Kuu ya Tanzania -TB1​
Jina (Kwa herufi kubwa) ......................................................................................​
Anwani ....................................................................................................................Simu .........................................................................................................................Tarehe .....................................................................................................................Gavana,Benki kuu ya TanzaniaS.L.P. 2939,Dar es Salaam.​
YAH: ZABUNI YA KUNUNUA DHAMANA ZA SERIKALIKWENYE MNADA NAMBA ---------- UTAKAOFANYIKATAREHE ------------​
Mimi/Sisi tunawasilisha zabuni yetu kwa ajili ya ununuzi wa Dhamana zaSerikali zitakazoiva kwa muda wa siku ................zenye thamani ya Shilingi................................ (Kiwango kwa maneno))..................................................kwa bei ya ..................... kwa kila Shilingi Mia Moja.Endapo zabuni hii inaletwa kwa niaba ya mteja tafadhali andika Jina kamilina anwani ya mteja huyo :Jina ............................................................................................................................Anuani .....................................................................................................................Endapo zabuni zetu zitashinda, tunatoa idhini kwako kuchukua kiasi chafedha linganifu kwa ajili ya kulipia Dhamana za Serikali kutoka kwenyeakaunti yetu ya hundi.Tarehe Saini Iliyoruhusiwa Saini iliyoruhusiwa​
Fomu zote sharti zipigwe muhuri wa ofisi.
 
Bid Form for Primary Dealers
[FONT=Book Antiqua,Book Antiqua][FONT=Book Antiqua,Book Antiqua]
Name (PRINT)........................................... Address:..................................................... ...................................................... Tel.No........................................................ Date............................................................​
Governor, Bank of Tanzania, P.O. BOX 2939,​
Dar es Salaam.​
[/FONT]
[/FONT]
Dear Sir,​
Re: TENDER FOR PURCHASE OF TREASURY BILLS AUCTION NO....................TO BE HELD ON.................
We hereby tender for the purchase of............................................................................ days Treasury Bills worth Shs....................................................................................... (in words)......................................................................................................... at a price of ....................................................................per Shs. 100.00.​
If biding on behalf of a client, please state client's full name and address
Name……………………………………………………………… Address …………………………………………………………. ……………………………………………………………………​

[TD="width: 44%"]
I/We undertake to pay the price of the bidded Treasury Bills upon receipt of your notification that this has been successful.​
[FONT=Book Antiqua,Book Antiqua][FONT=Book Antiqua,Book Antiqua]Date [/FONT][/FONT]​
[/TD]
[TD="width: 28%"][FONT=Book Antiqua,Book Antiqua] [FONT=Book Antiqua,Book Antiqua]
Authorised Signatory​
[/FONT]​
[/FONT]​
[/TD]
[TD="width: 28%"][FONT=Book Antiqua,Book Antiqua] [FONT=Book Antiqua,Book Antiqua]
Authorised Signatory​
[/FONT]​
[/FONT]​
[/TD]

[TD="width: 44%"]
------------------------​
[/TD]
[TD="width: 28%"]
----------------------------​
[/TD]
[TD="width: 28%"]
-----------------------------​
[/TD]
 
unaweza kwenda kwa ma brokers pia ambao wanaweza kukununulia ambao ni mabenki kama vile TIC,CRDB ETC
 
7.82% 2-YEAR FIXED RATE TREASURY BOND ISSUE 284
AUCTION 01 TO BE HELD IN AUGUST 22, 2012
An opportunity to invest in the United Republic of Tanzania 2-year fixed rate Treasury bonds.
The Bank of Tanzania as a fiscal agent for the United Republic of Tanzania invites bids for the above
bond. Terms and conditions for this bond are as follows:
1. Issuer
2. Amount
3. Procedure for bidding
4. Auction date
5. Settlement date
6. Form of issuance
7. Auction results
8. Price per TZS 100
9. Minimum bid size
10. Interest payment date
11. Coupon
12. Day count convention
13. Tax
14. Currency
15. Redemption date
16. Listing
17. Trading
18. Defaulters
United Republic of Tanzania
TZS 43.0 billion
Tender forms should be submitted and placed in boxes located at the
reception area of the Head Office, 10 Mirambo Street Dar es Salaam or in
the Bank's Branches in Mwanza, Arusha, Mbeya and Zanzibar before
11.00 a.m on auction date
August 22, 2012
August 23, 2012 (T+1)
Book entry system
Auction results shall be made available at the Bank's Head Office and
Branches' Notice Boards located at the Reception area and on the Bank's
Website immediately after the auction.
To be quoted at premium, par or discount to four (4) decimal places.
TZS 1,000,000 when bidding through Primary Dealers and TZS 5,000,000
for direct bidders, in multiples of TZS 100,000
First interest date: 21st February
Second interest date: 23rd August
Fixed at 7.82% p.a.
Actual/365
Interest income is subject to 10% withholding tax
Tanzania Shillings (TZS)
23rd August 2014
The bonds will be listed on the Dar es Salaam Stock Exchange
Secondary trading in multiples of TZS 100,000 to commence on Tuesday
August 28, 2012.
Successful bidders who fail to honour their obligations on time will be
disqualified from participating in the subsequent auctions for a minimum
period of one (1) month
The Bank of Tanzania reserves the right to accept or reject any or all applications
For further details please contact Domestic Markets Department, Bank of Tanzania, 10 Mirambo
Street, P.O. Box 2939, Dar es Salaam (Tel: 2233529-30; Fax :2234049) and Bank of Tanzania (BOT): Home Page : Benki Kuu ya Tanzania
 
acha hela za mjomba wako,tafuta zako
Heshima kwenu ndugu!! Nina mjomba wangu anastaafu mwaka huu! Na pensheni yake itasoma kama Mil 50,hivyo wadau Naomba mchangunuo wenu Wa biashara gani afanye!!!
 
acha hela za mjomba wako,tafuta zako

Kwani amesema hiyo penshen anataka kutumia yeye? Au unataka asimshauri mjomba wake aingie chaka na hela ipoteee? read between the lines bro!
 
Back
Top Bottom