Consider photo
View attachment 1377097
Huu ndio mkupuo mmoja ninaouzungumzia...angalia hapo kuna jumla ya magari 10 yanayooshwa kwa mpigo gari moja Kuosha 5000/= minimum hapo sawa kapiga 50,000/= cash kwa mkupuo mmoja nakama anapiga na service zingine maanake anafikisha 65000/= kwa mkupuo mmoja kwasiku mkupuo kama hiyo akiipata mitano(5) sawa na 300,000/= profit kwa siku.
Sasa location ninaouzungumzia mimi unaiwezo wakuosha magari matano (5) kwa mpigo kwamaana matatu kwenye Carwash-shade mawili nje ya shade kwapale Mcity ndio naonaga hivyo sana kwahapo ukipata mkupuo mitano (5) yakuosha magari matano (5) kwa mpigo sawa na 125,000/= ambapo profit unaweza pata 100,000/= cash kwasiku kwamahesabu hayo ukipiga minimum piga uwa hukosi 80,000/= kwasiku iyo ni ×2 ya pesa unayoitaka wewe.
Mlimanicity ni umelifata soko magari yako full muda wote.
Leo nilipanga kesho nikaulizie location moja pale naionaga ipo Empty mpango wangu ulikuwa kukodi nakuweka shade ila nifanye bila mashine ila ninaweza kuConcern mpango huu kwako tupige kazi na mashine.
Portfolio | 2020
Portfolio | 2020