proskaeur
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 1,571
- 4,924
Kama hautojali naomba uweke mchanganuo kidogo wa hiliDuka la dawa muhimu, location nje ya mji unapiga hela za kutosha hutajuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hautojali naomba uweke mchanganuo kidogo wa hiliDuka la dawa muhimu, location nje ya mji unapiga hela za kutosha hutajuta
Mkuu samahani, naomba unisaidie wapi naweza kununua pressure machine na ile ya kuanzia upepo wa magari na pikipiki.Upo tayari uwekezaji ufanyike sehemu gani hapa TZ?
Turudi kwenye mada. Biashara zote zinaweza kuleta kiasi hicho ila kwa upande wangu ningeshauri kuwekeza kwenye CARWASH ya kisasa
Mahitaji.
1.Pressure machine
2.Frame(japo si lazima)
3.Sabuni na Madodoki
4.Tanki la maji(inategemea na eneo)
5.Eneo la parking (At least 5 cars)
6.Friji(For soft Drinks and soft foods kwa ajili ya customers watakaokuwa wanasubiri magari yao)
7.Cheap labour.
Get Rich or Die Tryin
acha roho mbaya utakufa maskini...we cha kufanya ni kufungua zaidi ya moja ata upate chini yake utakuwa upo kivulini hata ukiumwa mzigo unaingia...tofauti ya maskini na tajiri ni mawazo tu...Yaani mimi nikodi eneo...nilipimie maji..na luku...mwisho wasiku tugawane pasu kwa pasu? Si wehu huo...khaa..au hujaelewa
Mchanganuo kama upi mkuu unaoutaka
acha roho mbaya utakufa maskini...we cha kufanya ni kufungua zaidi ya moja ata upate chini yake utakuwa upo kivulini hata ukiumwa mzigo unaingia...tofauti ya maskini na tajiri ni mawazo tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia Insta wacheki @DotcommachineryMkuu samahani, naomba unisaidie wapi naweza kununua pressure machine na ile ya kuanzia upepo wa magari na pikipiki.
Hakumaanisha mauzo ya siku alitaka kujua faida kwa siku iwe 40,000 kwa biashara ipi kwa mtaji huoGROCERY
-frame kwa mwezi let assume 200,000×6=1,200,000/=
Viti kumi 1@15000×10=150,00
Meza nne 1@30000×4=120,000
Sabufa ya 100,000
bia kreti 12 kila aina ya bia labda kreti mbili mbili hapo kwa bei sijui
Soft drink km soda, juice,grandmalt,redbull n.k
Hapo hela iliyobaki utanunulia vinywaji na haitaisha Sasa ukipata location nzuri uhakika wa kuingiza hii 40 upo tena na zaidi hasa Siku za weekend
Kwa Dodoma hii biashara inaonekana inalipa coz kila Siku mabar yanawatu na wamejaa siyo jumatatu wala jumamos mfano ukipata maeneo km
Kisasa
Area D
Site 1
Area c
Ukipata maeneo kama Hayo ukasogeza na chakula karibu unapiga hela
Umetoa bonge la ideaUpo tayari uwekezaji ufanyike sehemu gani hapa TZ?
Turudi kwenye mada. Biashara zote zinaweza kuleta kiasi hicho ila kwa upande wangu ningeshauri kuwekeza kwenye CARWASH ya kisasa
Mahitaji.
1.Pressure machine
2.Frame(japo si lazima)
3.Sabuni na Madodoki
4.Tanki la maji(inategemea na eneo)
5.Eneo la parking (At least 5 cars)
6.Friji(For soft Drinks and soft foods kwa ajili ya customers watakaokuwa wanasubiri magari yao)
7.Cheap labour.
Get Rich or Die Tryin
[emoji122][emoji122]Upo tayari uwekezaji ufanyike sehemu gani hapa TZ?
Turudi kwenye mada. Biashara zote zinaweza kuleta kiasi hicho ila kwa upande wangu ningeshauri kuwekeza kwenye CARWASH ya kisasa
Mahitaji.
1.Pressure machine
2.Frame(japo si lazima)
3.Sabuni na Madodoki
4.Tanki la maji(inategemea na eneo)
5.Eneo la parking (At least 5 cars)
6.Friji(For soft Drinks and soft foods kwa ajili ya customers watakaokuwa wanasubiri magari yao)
7.Cheap labour.
Get Rich or Die Tryin
Hakumaanisha mauzo ya siku alitaka kujua faida kwa siku iwe 40,000 kwa biashara ipi kwa mtaji huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasisi wavuvi,40,000 Ni faida ya samaki 40 tu,,profit margin Ni 1000 kila samaki,
Damka asubuhi mwaloni wahi wavuvi wanapotoka ziwani,baharini,
Tafuta gap sokoni hata kwa kukodi meza weka mzigo,
Au kuwa wholeseller wa samaki,kwa maana ya kununua kwa wavuvi unauza kea wauzaji wa reja reja ama wamama wanaokaanga samaki,
Weka profit margin ya 500 tu kila samaki,samaki 200=faida 100,000
Kama kichwa cha habari kisemavyo. Nina mtaji wa 3m/=. Walio serious na biashara, waaminifu, wapambanaji waje na IDEA tuzalishe 40,000/= kila siku. Iwe biashara halali tulipe kodi n.k.
Basi sema tu kwa upande wako hailipi lakini hiyo ya kumwoonea kijicho mfanyakazi kisa mnagawana pasu kwa pasu sio vizuri.Hiyo unit nyingine unafungulia kwa hela gan kama hii moja tu mnagawana pesa mkuu?yaan mapato tupate 60000 wewe uondoke na 28000 mie 32000??
Maji kwa mwezi 200000/
Umeme siku 5 5000/
Kodi 80000/@monthly
Kwahyo hapa nan anaumia??😏
Na malipo ya huyo kijana na shilingi ngapi kwa sikuICE CREAM
Kuwa na vijana 5 wape piece 100 kila mmoja wawe wanakuletea 8000 kila mmoja kwa siku=40,000/=
Ukiwa na freezer 2 zilizomodifaiwa kwa kuwekwa pipe za gesi kwa ndani utapga vzur kaz
Cheap labour anaondokaje na pesa yote hiyo cheep labour mshahara wake ni elfu tano kwa siku na chakula cha buku na chai ya buku kama mnaenda mpaka jioni pia utampa buku ya chakula, yan kimsingi cheap labour hatakiwi kuondoka na zaidi ya 10,000/= kwa siku ili asije akafanya maendeleo akakukimbia , mlipe kijana pesa ambayo itamlazimu kila siku aje kazini na huku uki train vijana wengine chipukizi .Mimi nimekuja gundua kila aina ya biashara ina suit mikoa fulani.
Hii biashara Kahama ni zaidi ya ukichaa...
Ukiosha semi..kijana anachukua 7000/ tajiri anachukua 8000/
Ukiosha bajaji 3000..dogo anaondoka na 1500na ww 1500
Gari za kawaida km ni 5000 dogo anaonroka na 2000ofisi 3000!
Maji nalipia mimi..umeme nagharamia mimi...kifupi mwisho wa siku dogo anaondoka na 30unabaki labda na 35 iko hivyo carwash zoote sijajua wanatengenezaje faida...ni modal ya ajabu mno!..
Hapo umenikomeshea janjaaroo hawa ndo maafisa wa tra anakuja kukupigia hesabu ambazo hazipo.Yah. Figures hasa za mapato zinatamanisha. Ila muhimu naona uni pm uandike cost za kununuwa vitu vya kazi. Kurent eneo. Wafanyakazi wangapi na malipo yao kama nawe utaingiza hela ili nijuwe mgawanyo wa mapato.
Kifupi andika cost zote na income. Tengeneza kama ka spreadsheet hivi kidogo.
Halafu tutaendelea kushauriana. Asante
Asilimia kubwa tz mfumo ndo upo hivyo kwa carwash na faida inapatikana tu mbona nzuri, kibarua kukuzidi mwenye kijiwe haiwezekani labda uwe una mwoshaji mmojaMimi nimekuja gundua kila aina ya biashara ina suit mikoa fulani.
Hii biashara Kahama ni zaidi ya ukichaa...
Ukiosha semi..kijana anachukua 7000/ tajiri anachukua 8000/
Ukiosha bajaji 3000..dogo anaondoka na 1500na ww 1500
Gari za kawaida km ni 5000 dogo anaonroka na 2000ofisi 3000!
Maji nalipia mimi..umeme nagharamia mimi...kifupi mwisho wa siku dogo anaondoka na 30unabaki labda na 35 iko hivyo carwash zoote sijajua wanatengenezaje faida...ni modal ya ajabu mno!..