mbongowakweli
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 848
- 684
- Thread starter
- #81
Ndio mkuuSorry unaposema uzalisha unamaanisha mauzo au faida kwa siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuuSorry unaposema uzalisha unamaanisha mauzo au faida kwa siku
Poa ndugu, point taken!Tafuta fundi anayejua kusuka freezer ambalo lina leakage kwenye gas pipes mpe hiyo kazi mwambie unataka alisukie kwa ndani yaani zile pipes ziwe zinaonekana ukifungua tu freezer! nakwambia linapiga kazi ni hakunaga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaongelea freezer used sio, au hata kitu kipya kwenye malailoni!Tafuta fundi anayejua kusuka freezer ambalo lina leakage kwenye gas pipes mpe hiyo kazi mwambie unataka alisukie kwa ndani yaani zile pipes ziwe zinaonekana ukifungua tu freezer! nakwambia linapiga kazi ni hakunaga.
Sent using Jamii Forums mobile app