mbongowakweli
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 848
- 684
Idea boughtUpo tayari uwekezaji ufanyike sehemu gani hapa TZ?
Turudi kwenye mada. Biashara zote zinaweza kuleta kiasi hicho ila kwa upande wangu ningeshauri kuwekeza kwenye CARWASH ya kisasa
Mahitaji.
1.Pressure machine
2.Frame(japo si lazima)
3.Sabuni na Madodoki
4.Tanki la maji(inategemea na eneo)
5.Eneo la parking (At least 5 cars)
6.Friji(For soft Drinks and soft foods kwa ajili ya customers watakaokuwa wanasubiri magari yao)
7.Cheap labour.
Get Rich or Die Tryin
DarKwanza! Upo mkoa mkoa gani?
Napajuwa ndugu. Lete idea..Note:
nitakwambia kitu makini mtoa mada zingatia mpaka nitapokuja kuandika hapa.
Siunapajua MlimaniCity basi iyo 40,000/= ndogo sana inapigwa kwa mikupuo miwili tu na kwasiku utapiga mikupuo 4 kwenda juu.
Nitakuwekea picha mfano mtu anaepiga 50,000/= kwa mkupuo mmoja.
Mantiki ya hapo ni LOCATION uwezi piga mkupuo mmoja 20,000/= kama location sio timamu ndio maana nikakwambia unapajua MlimaniCity.
Portfolio | 2020
Yah. Figures hasa za mapato zinatamanisha. Ila muhimu naona uni pm uandike cost za kununuwa vitu vya kazi. Kurent eneo. Wafanyakazi wangapi na malipo yao kama nawe utaingiza hela ili nijuwe mgawanyo wa mapato.Consider photoView attachment 1377088
Huu ndio mkupuo mmoja ninaouzungumzia...angalia hapo kuna jumla ya magari 10 yanayooshwa kwa mpigo gari moja Kuosha 5000/= minimum hapo sawa kapiga 50,000/= cash kwa mkupuo mmoja nakama anapiga na service zingine maanake anafikisha 65000/= kwa mkupuo mmoja kwasiku mkupuo kama hiyo akiipata mitano(5) sawa na 300,000/= profit kwa siku.
Sasa location ninaouzungumzia mimi unaiwezo wakuosha magari matano (5) kwa mpigo kwamaana matatu kwenye Carwash-shade mawili nje ya shade kwapale Mcity ndio naonaga hivyo sana kwahapo ukipata mkupuo mitano (5) yakuosha magari matano (5) kwa mpigo sawa na 125,000/= ambapo profit unaweza pata 100,000/= cash kwasiku kwamahesabu hayo ukipiga minimum piga uwa hukosi 80,000/= kwasiku iyo ni ×2 ya pesa unayoitaka wewe.
Mlimanicity ni umelifata soko magari yako full muda wote.
Leo nilipanga kesho nikaulizie location moja pale naionaga ipo Empty mpango wangu ulikuwa kukodi nakuweka shade ila nifanye bila mashine ila ninaweza kuConcern mpango huu kwako tupige kazi na mashine.
Portfolio | 2020
Hapa umetisha baba MorganUpo tayari uwekezaji ufanyike sehemu gani hapa TZ?
Turudi kwenye mada. Biashara zote zinaweza kuleta kiasi hicho ila kwa upande wangu ningeshauri kuwekeza kwenye CARWASH ya kisasa
Mahitaji.
1.Pressure machine
2.Frame(japo si lazima)
3.Sabuni na Madodoki
4.Tanki la maji(inategemea na eneo)
5.Eneo la parking (At least 5 cars)
6.Friji(For soft Drinks and soft foods kwa ajili ya customers watakaokuwa wanasubiri magari yao)
7.Cheap labour.
Get Rich or Die Tryin
Njoo pmNaweza kufanya hili, ila hii ni kazi yaa kuacha kazi ili ufanye kazi itachukua muda if your concern with idea nitaInvest muda wangu kufatilia kilakitu itachukua siku kadhaa kidogo If Deal nije PM tuwekeane sawa kitu kimoja private.
Portfolio | 2020
Mnavulia wapi?Kwasisi wavuvi,40,000 Ni faida ya samaki 40 tu, profit margin Ni 1000 kila samaki.
Damka asubuhi mwaloni wahi wavuvi wanapotoka ziwani, baharini. Tafuta gap sokoni hata kwa kukodi meza weka mzigo,
Au kuwa wholeseller wa samaki,kwa maana ya kununua kwa wavuvi unauza kea wauzaji wa reja reja ama wamama wanaokaanga samaki
Weka profit margin ya 500 tu kila samaki,samaki 200=faida 100,000
Hili linahitaji pumzi ya kutosha ChiefConsider photoView attachment 1377097
Huu ndio mkupuo mmoja ninaouzungumzia...angalia hapo kuna jumla ya magari 10 yanayooshwa kwa mpigo gari moja Kuosha 5000/= minimum hapo sawa kapiga 50,000/= cash kwa mkupuo mmoja nakama anapiga na service zingine maanake anafikisha 65000/= kwa mkupuo mmoja kwasiku mkupuo kama hiyo akiipata mitano(5) sawa na 300,000/= profit kwa siku.
Sasa location ninaouzungumzia mimi unaiwezo wakuosha magari matano (5) kwa mpigo kwamaana matatu kwenye Carwash-shade mawili nje ya shade kwapale Mcity ndio naonaga hivyo sana kwahapo ukipata mkupuo mitano (5) yakuosha magari matano (5) kwa mpigo sawa na 125,000/= ambapo profit unaweza pata 100,000/= cash kwasiku kwamahesabu hayo ukipiga minimum piga uwa hukosi 80,000/= kwasiku iyo ni ×2 ya pesa unayoitaka wewe.
Mlimanicity ni umelifata soko magari yako full muda wote.
Leo nilipanga kesho nikaulizie location moja pale naionaga ipo Empty mpango wangu ulikuwa kukodi nakuweka shade ila nifanye bila mashine ila ninaweza kuConcern mpango huu kwako tupige kazi na mashine.
Portfolio | 2020
Portfolio | 2020
Panua Pua.
hongera sana mkuu ila fanyeni ideas zote lakini vikija hivi vijamaa vya forex piga chini vitakuingiza umaskiniKama kichwa cha habari kisemavyo. Nina mtaji wa 3m/=. Walio serious na biashara, waaminifu, wapambanaji waje na IDEA tuzalishe 40,000/= kila siku. Iwe biashara halali tulipe kodi n.k.
KARIBUNI.
p.s. Ruksa kuni PM...
MKUU NIMEKUELEWA MPAKA NATAMANI NIKUTAFUTE PIA UNIPE UFAHAM ZAIDI WA HII BIASHARAKwasisi wavuvi,40,000 Ni faida ya samaki 40 tu,,profit margin Ni 1000 kila samaki,
Damka asubuhi mwaloni wahi wavuvi wanapotoka ziwani,baharini,
Tafuta gap sokoni hata kwa kukodi meza weka mzigo,
Au kuwa wholeseller wa samaki,kwa maana ya kununua kwa wavuvi unauza kea wauzaji wa reja reja ama wamama wanaokaanga samaki,
Weka profit margin ya 500 tu kila samaki,samaki 200=faida 100,000
Elezea vizuri kama unapaswa kusikilizwa hivi.Kwasisi wavuvi,40,000 Ni faida ya samaki 40 tu,,profit margin Ni 1000 kila samaki,