Tafuta fundi anayejua kusuka freezer ambalo lina leakage kwenye gas pipes mpe hiyo kazi mwambie unataka alisukie kwa ndani yaani zile pipes ziwe zinaonekana ukifungua tu freezer! nakwambia linapiga kazi ni hakunaga.
Sent using
Jamii Forums mobile app