Mtaji wa tzs milioni 10 biashara kwa wale walio busy sana yenye faida ya tzs 1.5m

Mtaji wa tzs milioni 10 biashara kwa wale walio busy sana yenye faida ya tzs 1.5m

Swali la mwisho mkuu,ulikua una deal na mazao gani mkuu?

dodge

Usijali. Haikya mazao ila biashara ambayo baadae nilijya nimevutiwa zaidi na calculator kuliko uhalisia. Nikaingia king
 
Watu hapa wameshindwa kutofautisha usalama wa bidhaa na usalama wa watu. Nyumba ya kawaida ikianza kuungua kutoka ndani ni kitendo cha chini ya dakika. Nyumba hiyo ikianza kuungua kuyatoa magunia 300 nje si chini ya masaa kibao. Provided that moto umeshindikana kuzimika katika scenario zote. Sijawahi sikia nyumba imeungua wakaokoa mali za ndani wakaacha watu. Either waokoke watu na mali chache, bila mali au waangamie watu na kila kitu ndani.
 
Miaka ya 2016/17 nilifanya ulichosema mleta mada. Nilinunua mzigo wa kutosha nikauweka store Himo. Nikawa nasubiri bei ikae sawa zaidi niwauzie Wakenya.
Changamoto kubwa ilikuwa ni kufungwa kwa mipaka na zuio la mahindi yasiuzwe nje. Soko la ndani halikuwa zuri sana (kama ntakuwa nakumbuka 1kg ya mahindi ilikuwa 400-430).

Hali ilikuwa tete kwani mahindi ya 2016 yalikuwa yako ghalani halafu ya 2017 yanakaribia kuingia sokoni.
Nikauza kwa bei ambayo haikuwa nzur sana. Nikanunua tena mzigo nikitarajia 2017 mipaka itafunguliwa na watu tutacheka.

Nilichokutana nacho Mungu ndio anajua. Huu mwaka wa 2017 nafikiri ndio mwaka ambao zao la korosho lilianza kuleta neema kwa mkulima.
Basi nikasema ntaingia front kwenye Korosho nami niwanunulie mbuzi wangu soda.

2018 kutia mguu kwenye korosho nikalia na kusaga meno. Na hiyo ilikuja baada ya serikali kuingilia soko la korosho.

Kwa uzoefu wangu kwenye biashara hii ya mazao kuna risk kubwa sana pale ambapo serikali inaingilia soko. Na ukiwa mfanyabiashara lazima ufikirie changamoto hiyo unaitatua vipi?
Je mtoa maamuzi amebadilika au maamuzi ya mwaka huu 2020 ameyafanya kwa lengo la kutafuta kura?
 
Buffer stock.......

Ntakuja na uzi kuelezea ni jinsi gani hii biashara ni ya kinyonyaji kwa raia wa watiifu wa jamhuri ya tanzania yan wanyonge .mtu una weka bidhaa store ili ikifika kipindi cha shida uje kupiga hela.

A friend of mine aliguswa na makala yangu ya biashara ya nafaka kwa wenye mtaji mdogo na muda usiotosha niliyoiweka katika link ya blog ya miamia (LINK:Biashara ya nafaka ya mtaji mdogo). Alipoguswa akaamua kuingia kwa akiba yake ya TZS 10M aliyokuwa nayo benki.

Akanunua gunia 300 kwa wastani wa TZS 30,000 kwa gunia. Alitumia TZS 1M kwenye madawa na usafiri. Alikuwa na room aliyoiita ya wageni pale home kwake japo room hiyo ilikuwa ikipata wageni mara chache sana.

Aliigeuza room hiyo kuwa store ya mahindi aliyonunua. Mengine akayaweka kichumba kilichoitwa store na mengine akayajengea kisehemu cha kuhifadhia ndani ya fence ya nyumba aliyopanga.

Alinunua baada ya mavuno July mwaka jana 2019 na miezi sita ikapita wiki iliyopita alienda sokoni na akuliza bei ya mahindi na kuomba kusupply gunia 300. Bei ya rejareja ilifika TZS 750 kwa kilo. Bei ya jumla akauza TZS 650 kwa kilo.

Jamaa akajipatia TZS 19.5M ikiwa ni TZS 9.5M zaidi ya pesa aliyotumia kununua yale mahindi. Anasema faida yake anahesabu hiyo TZS 9M mana kuna matumizi tumizi yalimbidi kulipia pale sokoni japo haikufika TZS 500,000.

Ongezeko la TZS 9M ni sawa na wastani wa ongezeko la TZS 1.5M kwa mwezi. Sio wote tufanye hii ila kwa wale wachache hata kama una TZS 30M we nunua gunia zako 1000 July ijayo Mungu hamtupi mja wake. Penye jitihada ndipo penye mafanikio.
Miaka ya 2016/17 nilifanya ulichosema mleta mada. Nilinunua mzigo wa kutosha nikauweka store Himo. Nikawa nasubiri bei ikae sawa zaidi niwauzie Wakenya.
Changamoto kubwa ilikuwa ni kufungwa kwa mipaka na zuio la mahindi yasiuzwe nje. Soko la ndani halikuwa zuri sana (kama ntakuwa nakumbuka 1kg ya mahindi ilikuwa 400-430).

Hali ilikuwa tete kwani mahindi ya 2016 yalikuwa yako ghalani halafu ya 2017 yanakaribia kuingia sokoni.
Nikauza kwa bei ambayo haikuwa nzur sana. Nikanunua tena mzigo nikitarajia 2017 mipaka itafunguliwa na watu tutacheka.

Nilichokutana nacho Mungu ndio anajua. Huu mwaka wa 2017 nafikiri ndio mwaka ambao zao la korosho lilianza kuleta neema kwa mkulima.
Basi nikasema ntaingia front kwenye Korosho nami niwanunulie mbuzi wangu soda.

2018 kutia mguu kwenye korosho nikalia na kusaga meno. Na hiyo ilikuja baada ya serikali kuingilia soko la korosho.

Kwa uzoefu wangu kwenye biashara hii ya mazao kuna risk kubwa sana pale ambapo serikali inaingilia soko. Na ukiwa mfanyabiashara lazima ufikirie changamoto hiyo unaitatua vipi?
Je mtoa maamuzi amebadilika au maamuzi ya mwaka huu 2020 ameyafanya kwa lengo la kutafuta kura?

Mtu unadiriki kuweka bidhaa ndani watu wafe njaaa ili uje kupiga hela baadae ?? Hii sio sawa
 
Hebu tupe japo kidogo ilikuaje maana mm inajiandaa tena kulima pia ili nikarekebishe makosa mkuu hebu share nasi japo kidogo uzoefu wako

Sent using Jamii Forums mobile app

Mie haikua kwenye kilimo, nimeweka huo ushuhuda kuna jamaa alipost kilimo cha kwenye makaratasi na calculator.

Nilihamasika nikaingia full. Matokeo yake sasa!.
 
Hivi ilitokea ajali ya moto hapo home inakuwaje? Una bima?

Wizi na uporaji? Gharama za usafiri kutoka kwa wakulima hadi nyumbani halafu tena kupeleka sokoni.

Ni heri kwenda kuhifadhi kwenye godowns zenye bima kwa ajili ya usalama na probably kupunguza gharama ya usafirishaji maana hizo godowns nyingi zipo mashineni ambako wanunuzi wanapatikana muda wote.

NB: Hii biashara nimefanya for years japokuwa ni mpunga lakini kwa sasa huwezi kumkuta mfanyabiashara serious kaweka gunia 300 ndani kwake we did back in 90s.
Sasa yeye kafanya na kutusua. Risk taker na katusua acheni kurudisha watu nyuma. Ukiibiwa imekula kwako usipoibiwa basi umetusua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
miamiatz, KakA,baadh ya watu wa jf ni was.enge sana ,usitegemee hata sku1 wanaweza sapoti mambo chanya,mfano hapo umetoa mchanganuo ila watu wanakuja na critics za ajab ajab,sasa unajiuliza,tukae tuu tusifanye mrad wowote,mtu anasema nyumba kuungua..mf..nyumba inaunguaje,bas asiwe analala humo kuogopa paa kumwangukia or kuungua..non sense,..na mtu anakomaa kabisa kutoa critics,...mim nawaitaga hawa jamaa wa hvo ni maskiniii.

Mim nina ekari 20 hapo bagamoyo mwaka huu nalima mahind na natarajia kuhifadh baada ya mavuno.ila umenipa wazo la faida pia kua naweza pia nunua,...m10 kitu gan bwana,et nyumba kuungua,mbona huofii kuungua familia,st.upid,..mim nitafanya hii kitu uliyosugest hapa
Brother hata mimi nawaona wajinga tu. Huyu jamaa amenifundisha kitu hasa kuhusu utunzaji. Binafsi kulima huwa sikupi kipaumbele sana lakini kununua nakubaliana. Mwaka huu naplan kitumia 15M mpk 25M kwa ajili ya kununua nataka. Nipo kwenye upembuzi yakinifu kujua kati ya mahindi na maharage kipi Bora kununua kwa ajili yakuuza baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo watu mnachanganya kati ya ku-take RISK na UZEMBE.

Hivi mbona pesa mnapeleka benk ilhali mna mabegi nyumbani? Si mziweke tu nyumbani kama biashara ni ku-take risk.
Wewe peleka huko kwenye godowns and warehouses waache wasio na hela wakaweke nyumbani. Yaani mimi nina nyumba well electrical fenced nina vyumba vya nje halafu naenda kuhifadhi godown idiot

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua,lakini kama mtu upo serious kweli gunia 300 ni nyingi mno kuziweka home kwenye risk kubwa.

Weka hata godown za mashineni wana bima na kama ni mpunga hawakutozi hata storage isipokuwa unatakiwa ukobolee mashineni kwao na pumba uwaachie
Next time asirudie Tena kuweka nyumbani
 
Wewe peleka huko kwenye godowns and warehouses waache wasio na hela wakaweke nyumbani. Yaani mimi nina nyumba well electrical fenced nina vyumba vya nje halafu naenda kuhifadhi godown idiot

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona una hasira sana? Hakuna aliyekutaza kuhifadhi nyumbani ila kwa taarifa tu ni kwamba kuhifadhi nyumbani wala hakupunguzi gharama yoyote zaidi yakuongeza risks na gharama zisizo za lazima.

Stress za maisha yako usitake kuhamishia kwangu.
 
Back
Top Bottom