Mtaka anabishana na mtoto pendwa atapona kweli?

Mtaka anabishana na mtoto pendwa atapona kweli?

Anaweza kumteka na hata kumuua kabisa, kama aliweza kutumiwa na wanamtandao kumuua Magufuli atashindwa nini tena huyu nyamitako?
Acha kumtafutia matatizo Maxcence Mello ya kulazimishwa a disclose details zako. Mambo mengine achana nayo.
 
jamani haya mambo kama mtu huyajui huna haja ya kuongea kujifanya nawe humo. mkikamatwa mkiulizwa na kuminywa pumbu mnaanza kutia huruma na kutafuta public sympathy
Tunaanza na wewe
Screenshot_20260616-171056~2.png
 
Mimi ni Kuhani wa dini za jadi siyo hizo dini zenu za kutoka Mashariki ya Kati mnazolishwa matango pori.
kwa hiyo kwamba huyu DAB ni msaliti na alishiriki kumuangamiza j...iw3 siyo? swali langu ni kuwa, hizi taarifa kila mmoja anongea kivyake, hazina uhakika zinabaki kuwa hearsay tu... ni hatari mno nchi kujengwa kwenye hearsays pasipo facts. kama tunafeli kuwa clear kwenye hili, basi tutafeli kuwa clear kwenye lile pia. Soros theory of relativity
 
kwa hiyo kwamba huyu DAB ni msaliti na alishiriki kumuangamiza j...iw3 siyo? swali langu ni kuwa, hizi taarifa kila mmoja anongea kivyake, hazina uhakika zinabaki kuwa hearsay tu... ni hatari mno nchi kujengwa kwenye hearsays pasipo facts. kama tunafeli kuwa clear kwenye hili, basi tutafeli kuwa clear kwenye lile pia. Soros theory of reflectivity
 
Unategemea habari kama hizi ziwe na direct evidence? Hata kupigwa risasi Tundu Lissu polisi wanasema hakuna ushahidi na hawajafungua jalada hadi leo, hivyo kwa theory yako nayo pia ni hearsay, sawa tutafika tu.
 
Mtaka si mdogo pia. Kumbuka anaweza kugombea Urais..

Figisu zote zinafanywa na Mwigulu.. Akiona mtu anainuka anamponda kichwa. Ndo maana kamsaliti Makamba sababu ndo tishio kwake na Nchimbi
 
Back
Top Bottom