Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mwanasiasa mteuliwa kwa kawaida hana kauli kwa sehemu ya kutumikia.
RC Mtaka nimekuwa namfuatilia toka akiwa Sumiyu. Ni kijana anatumia utu na akili katika maamuzi yake.
Miaka ya Mwendazake wakati ma RC wengine wakishindana kuwaweka ndani viongozi wenzao wa ngazi za chini, yeye alikiri kukataa dhambi hiyo isiyo na utu.
Pale Dodoma amejitahidi kufanya vizuri hasa katika elimu ya wananchi vijijini na utawala bora kwenye manispaa tofauti.
Hata hivi majuzi kuonyesha umma kuwa kati ya waendesha bodaboda kuna graduates, that was a master stroke.
Pengine kosa lililowakera wenzake ni kumsema kiongozi mwenziwe juu ya elimu ya watoto wadogo, lakini alisema kweli. He is straight foward, thoughtful na hakuna kumung'unya maneno this young politician.
Ana future nzuri kisiasa, ila kwenda Njombe pengine ni kumpunguza spidi kwa wanaoona kijana anakuja vibaya!
Asikate tamaa, apige kazi, kazi iendelee!