Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Nakubaliana na wewe kwenye paragraph ya mwisho. Kuna maDED na maDC ni vichomi.Speed gani? Sisi Wana Njombe tumefurahi maana huyu ni mchapa Kazi..
Pili tatizo liko kwenye ma DED na DC zaidi .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na wewe kwenye paragraph ya mwisho. Kuna maDED na maDC ni vichomi.Speed gani? Sisi Wana Njombe tumefurahi maana huyu ni mchapa Kazi..
Pili tatizo liko kwenye ma DED na DC zaidi .
Yule jamaa wa Vodacom kanda ya ziwa alimgomea asiyegomewa kipindi kile.Nafasi za kuteuliwa mbaya sana,Mimi binafsi nikiteuliwa sitaki
Ninamtakia mema.Mwanasiasa mteuliwa kwa kawaida hana kauli kwa sehemu ya kutumikia.
RC Mtaka nimekuwa namfuatilia toka akiwa Sumiyu.
Ni kijana anatumia utu na akili katika maamuzi yake...
Njombe ni mkoa mzuri sana kwa mtendaji mwenye weledi kama Mh. Mtaka.Mwanasiasa mteuliwa kwa kawaida hana kauli kwa sehemu ya kutumikia.
RC Mtaka nimekuwa namfuatilia toka akiwa Sumiyu...
Mtaka ni Motivational speaker tu ukichunguzq kiuhalisia hamna kitu anafanya.Njombe ni mkoa mzuri sana kwa mtendaji mwenye weledi kama Mh. Mtaka.
Njombe ni mkoa wenye rasilimali nyingi ikiwa ni pamoja na misitu na ardhi nzuri ya kilimo na ufugaji wa ng'ombe wa maziwa.
Njombe ni moja ya mikoa inayozalisha kwa wingi chakula. Hata hivyo ni miongoni mwa mikoa yenye udumavu wa watoto kwa kukosa lishe bora.
Mtaka ameonesha utendaji wenye tija kwenye Wilaya na Mikoa yote aliyokwisha fanya kazi na hivyo kuwaachia wanao kuja kuiga na kufanya vema zaidi.
Nadhani Njombe kwa sasa ilikuwa inahitaji mtu kama Mh. Mtaka ili akanyooshe mambo ya msingi hususan elimu, afya na uchumi wa mkoa unaodorora licha ya fursa tele zilizopo.
Mh. Mtaka "akaimarishe" afya za watoto na kuondokana na udumavu licha ya uwepo wa maziwa na asali ya kutosha hapo Njombe.
Hongera Mh. Rais kwa kumteua Mtaka kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
Hii sio kupunguzwa spidi kwa Mtaka bali fursa ya yeye kuonesha matokeo chanya kwenye sehemu ambayo wengi wameshindwa kufanya hivyo.
Mh. Mtaka anaweza kuyafanya hayo.
Hongera Mh. Rais; Hongera Mh. Mtaka.
Ila ni kweli kabisaMwanasiasa mteuliwa kwa kawaida hana kauli kwa sehemu ya kutumikia.
RC Mtaka nimekuwa namfuatilia toka akiwa Sumiyu.
Ni kijana anatumia utu na akili katika maamuzi yake.
Miaka ya Mwendazake wakati ma RC wengine wakishindana kuwaweka ndani viongozi wenzao wa ngazi za chini, yeye alikiri kukataa dhambi hiyo isiyo na utu.
Pale Dodoma amejitahidi kufanya vizuri hasa katika elimu ya wananchi vijijini na utawala bora kwenye manispaa tofauti.
Hata hivi majuzi kuonyesha umma kuwa kati ya waendesha bodaboda kuna graduates, that was a master stroke.
Pengine kosa lililowakera wenzake ni kumsema kiongozi mwenziwe juu ya elimu ya watoto wadogo, lakini alisema kweli.
He is straight foward, thoughtful na hakuna kumung'unya maneno this young politician.
Ana future nzuri kisiasa, ila kwenda Njombe pengine ni kumpunguza spidi kwa wanaoona kijana anakuja vibaya!
Asikate tamaa, apige kazi, kazi iendelee!
Mtaka ni Motivational speaker tu ukichunguzq kiuhalisia hamna kitu anafanya.
Hii ishu ya RC Mtaka iko hiviMwanasiasa mteuliwa kwa kawaida hana kauli kwa sehemu ya kutumikia.
RC Mtaka nimekuwa namfuatilia toka akiwa Sumiyu. Ni kijana anatumia utu na akili katika maamuzi yake.
Miaka ya Mwendazake wakati ma RC wengine wakishindana kuwaweka ndani viongozi wenzao wa ngazi za chini, yeye alikiri kukataa dhambi hiyo isiyo na utu.
Pale Dodoma amejitahidi kufanya vizuri hasa katika elimu ya wananchi vijijini na utawala bora kwenye manispaa tofauti.
Hata hivi majuzi kuonyesha umma kuwa kati ya waendesha bodaboda kuna graduates, that was a master stroke.
Pengine kosa lililowakera wenzake ni kumsema kiongozi mwenziwe juu ya elimu ya watoto wadogo, lakini alisema kweli. He is straight foward, thoughtful na hakuna kumung'unya maneno this young politician.
Ana future nzuri kisiasa, ila kwenda Njombe pengine ni kumpunguza spidi kwa wanaoona kijana anakuja vibaya!
Asikate tamaa, apige kazi, kazi iendelee!
Who is the Master?Hii ishu ya RC Mtaka iko hiviView attachment 2307709
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Hii ishu ya RC Mtaka iko hiviView attachment 2307709
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Yaani kuna viongozi katika mamlaka za uteuzi/vetting ambao wana inferiority complex na kuogopa kuwa upstaged?Kwa wazungu hutoki kama kiongozi ukajiamulia kusema chochote au kufanya vyovyote hawakubali watakupa ukweli na Pengine Hata kuchukua hatua.
Ndio maana ili useme Mpango lazima ujiandae ili uondokane na kuonekana mpumbavu mbele ya jamii.
Kwani njombe hawataki RC mzuri?Mwanasiasa mteuliwa kwa kawaida hana kauli kwa sehemu ya kutumikia.