Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Sisi wananchi? Umejipa jukumu la kuzungumzia na wengine?Sisi wananchi ndio tunamuelewa zaidi maaana yeye ni mtumishi wetu.
Mnataka mtu ambae yupo yupo ambae kazi yake ni uchawa kusifu na kuabudu tu watu ?!
Na jamaa inabidi aanze kumsihi Mungu azidi kumlinda na kujilinda asijeakaaekewa thumu kama anko Maguu.
Mtaka ana kitu kisicho cha kawaida na watesi huwa wanakiona mapema.
Kaa chonjo A. Mtaka
Maana si kwa chuki kiasi hicho!