Mtaka kwenda kuwa RC Njombe ni kumpunguza spidi?

Sisi wananchi? Umejipa jukumu la kuzungumzia na wengine?
 
Hapana,Yeye ni mtumishi wa umma.Popote anapopaswa kwenda kama ni mtendaji atatenda tu.Njombe nako wanahitji maendeleo na watumishi makini
Humu wengi akili.zipo kushoto, utapata shida sana kueleweka. Dawa ni kwenda nao hivyo king'ombeng'ombe.

Huyo unayomueleza hivyo hana akili hata moja, fikiria tu anashindwa kuelewa mtaka hawezi kukaa dodoma milele Wala hata kuwa mkuu wa mkoa milele.

Hata ikitokea mtaka atatenguliwa, ni sawa. Sio lazima awe mkuu wa mkoa.
 
Mkuu wala sikuungi mkono, Mtaka ni mchapakazi mno nami nampenda kwa uchapaji kazi wake. Hivyo kutokana na ubora alionao mkuu wa nchi ameona ubora huo aende akautumie huko Njombe maana nao wanahitaji kuwa na kiongozi bora na mwenye maono.

Pia kiongozi akiwa mzuri hata ukimeleka wapi atakwenda na uzuri wake, kumbuka hivi vitu vinategemea sana malezi na makuzi mtu aliyekulia, mfano mzuri ni JPM kipindi akiwa waziri kila alipopelekwa alikuwa na ubora uleule. Kwa ubora wa Mh. Mtaka naamini Njombe nao watanufaika.
 
Alisemaje kuhusu elimu ya watoto wadogo?
 
Watu wazuri nchi hii, huwa wanafitiniwa, Rais SSH KWENYE Baraza lako la mawaziri lazima upate vichwa Kama 6 KWENYE KWENYE wizara nyeti, Mh Mtaka hatakiwi KUWA Mkuu wa Mkoa tena,inabidi ateuliwe ubunge, then WAZIRI, ALAFU mpeleke Tamisemi, au elim, na makao makuu ya nchi hujatenda haki kumuondoa mh Mtaka, hapa hujashauriwa vyema
 
Haswaaa na ndio muelekeo wangu.
 
Hauna akili? Huo ubora wa mtaka ni upi?
 
Aliyepunguziwa spidi ni Binilith Satano Mahenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…