Yes ndivyo ilivyoHili Jima ndo Ilipewa shule ya sekondari IHUNGO Kama kumbukumbu kipindi Cha ukoloni
View attachment 1782314
Mke wa kwanza wa Mfalme Henry, Katherine Aragon, Baada ya ndoa yao kushindwa kupata mtoto wa kiume atakae kuwa mirth, Mfalme atikaka kuoa tena kanisani ndiyo Pope alimkatalia.
Mfalme aliamua kuanzisha kanisa lake, ambalo ndiyo Church of England.
Alikua na roho mbaya sana, alitaifisha mali za Kanisa Katoliki. Mungu ni mkubwa kutokana na matumizi yake mabaya alikufa akiwa kijana kwa magonjwaya moyo.
Come wa kwanza Catherine of Aragon alikua binti wa Mfalme Fernand na Malkia Isabella wa Hispania. Wazazi wake walimuandaa kuwa Malkia na aliongea na kuandika Kilatin, Kiingereza na Kihispania. Alikua na mafunzo ya Jeshi. Kwa miaka hiyo alikua ni binti mwenye elimu.View attachment 1806901
Chanzo chote kilikua ni huyu hawara Anne Boleyn. Ambaye alimuoa baada ya kumuacha mkewake huyo
Na matokeo yake alijikuta anaoa hadi wanawake 6 na hakuna aliyempatia mtoto wa kiume
Mwishowe Mtoto wa Anne Boleyn, Aliueitwa Elizabeth wa kwanza(Elizabeth I) ikabidi arithi kiti
Na Anne Boleyn alivyoshindwa kumpatia mtoto wa kiume pia Mfalme akaona aibu kurudi kanisani kuomba talaka(Anglican Church) japokua alikua ndo mkuu wa kabisa
Akamtungia mashtaka ya kusaliti ndoa na kutaka kumuua mfalme nae Ane Boleyn akala upanga pia jamaa akaoa mke wa 3,4,5 mpaka 6ππππ
Achana na Novena za Kanisa Katoliki.Huyu mfalme Henry VIII , pamoja na kuoa wake 6 ili apate mtoto wa kiume atayewezesha damu yake itawale England milele , kizazi chake kilishia kwa Queen Elizabeth I, japokuwa watoto wake watatu Edward VII, Mary I na Elizabeth I , kutawala England lakini hamna hata moja aliyejaaliwa kuzaa watoto. Inawezekana alipata laana kwa utawala wa mabavu na kuua baadhi ya wake zake na waliompinga.
Oooh umeniongezea kitu kuhusu huyo kufa na bikra.Come wa kwanza Catherine of Aragon alikua binti wa Mfalme Fernand na Malkia Isabella wa Hispania. Wazazi wake walimuandaa kuwa Malkia na aliongea na kuandika Kilatin, Kiingereza na Kihispania. Alikua na mafunzo ya Jeshi. Kwa miaka hiyo alikua ni binti mwenye elimu.
Aliolewa na kaka wa Henry, Arthur ambae alifariki wakiwa honeymoon. Mfalme Fernand aliambiwa arudishe mahari. Kumbe nao zamani walioana kwa mahari. Mfalme alikataa na kuomba Catherine awe Spanish Ambassador kwa Uingereza badala yake.
Henry alipofikisha umri wa kuoa aliambiwa amuoe Catherine, lakini ilikua ni lazima mfalme aoe bikra. Hivyo Catherine aliapa kwa Maaskofu kuwa Arthur hakuwahi kumgusa, alipata maradhi kabla hawajishiriki tendo la ndoa.
Catherine alikua mkubwa kwa Henry kwa miaka mitano. Ninadhani haya pia yalichangia ndoa isiyo na upendo.
Yeah hapo ndo house yake iliishia kutawalaHuyu mfalme Henry VIII , pamoja na kuoa wake 6 ili apate mtoto wa kiume atayewezesha damu yake itawale England milele , kizazi chake kilishia kwa Queen Elizabeth I, japokuwa watoto wake watatu Edward VII, Mary I na Elizabeth I , kutawala England lakini hamna hata moja aliyejaaliwa kuzaa watoto. Inawezekana alipata laana kwa utawala wa mabavu na kuua baadhi ya wake zake na waliompinga.
On this day 3rd June 1865 The birth of George V, King of England from 1910 to 1936 who married Princess Mary of Teck (Queen Mary) in 1893. He ruled during the First World War and changed the family name from Saxe-Coburg-Gotha to Windsor in 1917.Oooh umeniongezea kitu kuhusu huyo kufa na bikra.
Pia Elizabeth I aliyekua mtoto wa Anne baadae alikuja kuwa queen na kutawala mpka anakufa akiwa na miaka kama 70 alikua bikra na hakuolewa(Ndo matokeo yake Throne ikatoka House of Tudor kwenda House of Plantaganet halafu Hanover halafu Saxo Coburg then ndo Windsor(Ya sasa)
Huyu ndo alidedicatiwa koloni la Virginia kuonyesha ubikra wake
Na ngozi yake wakala wengine π π π πAlikua na roho mbaya sana, alitaifisha mali za Kanisa Katoliki. Mungu ni mkubwa kutokana na matumizi yake mabaya alikufa akiwa kijana kwa magonjwaya moyo.
Hapana sio Novena, ni documentary za British royal family from "Six wives of Henry VIII"Achana na Novena za Kanisa Katoliki.
Nilichomaanisha ni laana aliyopata Mfalme baada ya matendo aliyowatendea watawa wa Katoliki. Baada ya kuanzisha kanisa lake aliamuru watawa wote wa Katoliki kujiunga na kanisa lake, waliokataa waliuliwa.Hapana sio Novena, ni documentary za British royal family from "Six wives of Henry VIII"