Mtake ushahidi gani kuamini viongozi wengi serikalini hawajielewi?!

Yamejazana matahira hukoo serekalini mkuu wa gereza unakuta kapewa cheo hata sheria za magereza hawazijui.
Ukishaamua kukaa upande wa ukandamizaji hata uwe na phd ya sheria utakaangwa tu kizimbani... na utaonekana hamnazo.. hasa ukikutana watu makini...

Huyo jamaa baada ya hapo alijiona mdogo.. hana hamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…