Mtakie Jumapili Njema Umpendaye Humu JF

Mtakie Jumapili Njema Umpendaye Humu JF

Nani tena?
Kibonge una nini?[emoji23][emoji23]
Ngoja niisikirinishuti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa matumizi ya baadae, Kimbaumbau akiii nakuletea mawe uongeze kwenye pochi yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naona unanitafuta kibonge[emoji23][emoji23][emoji23]
We sikirini shoti tu usijali
Huyo ni babe shem wangu.

Ila mtoa mada uko na roho ngumu khaa!!
 
Naona unanitafuta kibonge[emoji23][emoji23][emoji23]
We sikirini shoti tu usijali
Huyo ni babe shem wangu.

Ila mtoa mada uko na roho ngumu khaa!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hivi una nini lakini.... Naomba unifafanulie sentence ya mwisho
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hivi una nini lakini.... Naomba unifafanulie sentence ya mwisho
Ona umbea ulivyokujaa,khaa!
Uzi unahusu kutakiana jumapili njema sio kupiga umbea[emoji23][emoji23][emoji23]
Nitafute siku nyingine nitakwambia[emoji12][emoji12]

Uwe na jumapili njema mpendwa[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mimi nawatakia Jumapili njema, tulivu na yenye amani Members wote wa JamiiForums walio hai, Wahariri wa hili Jamvi ( Moderators ), Watendaji wote wa Mtandao wangu huu pendwa wa JamiiForums na Waanzilishi wake wote ( Founders ) kwa kutuletea hii ' platform ' ambayo pengine kama isingekuwepo hivi sasa GENTAMYCINE ningekuwa ' Kijiweni ' tu nacheza ' Kamali ' za Karata tatu au Nasokota ' jani ' kama siyo kuhangaika kuwavizia Wake za Watu na kuwatongoza.

Ninawapenda nyote humu mwaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhh....pokeeni hilo busu langu ambalo limetukuka kabisa.
Mwaawawawwaaaa
 
Ona umbea ulivyokujaa,khaa!
Uzi unahusu kutakiana jumapili njema sio kupiga umbea[emoji23][emoji23][emoji23]
Nitafute siku nyingine nitakwambia[emoji12][emoji12]

Uwe na jumapili njema mpendwa[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Muoneeee ntakutafuta kule uzi pendwa.

Na kwako pia maaa[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Jumapili njema kwako Nifer mekumithiiii jamani! Mpe hi na shemu darling wangu Bold
 
Back
Top Bottom