Mtakie kheri ya Christmas na Mwaka Mpya, member yeyote unayemkubali hapa

Napenda kujitakia heri ya sikukuu ya krismasi popote pale nilipo ikawe heri na baraka kwangu pili kwa familia yote kuanzia katika shina la ukoo yaani kutoka kwa babu hadi vitukuu,tatu kwa wana Jf Wote Mungu akulindeni
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Nimependa hizi hasira, umenizidi hata mimi.
PS: God bless your day, you're the best in my book.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…