Heri ya krismass pia kamanda
Heri ya xmass na fanaka kwenu members wote ambao ni wadau wanguKwanza nashukuru MUNGU, Kwa kutuweka hai,
Napenda kuchukua fursa hii, kuwatakia kheri, ya Christmas na mwaka mpya
finacial sevises
mshanajr
jiwejr
mawardat
Zero IQ
Moderator
Na member wengine wote,nawatakia sherehe njema!!!!!
MTAKIE KHERI MWANA JF YEYOTE UNAYEMKUBALI.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ukawe na sikukuu njema mamaangu. Muda wote u maombini mwangu,ahsante binti mwemaAuntie Mtu wa Code ankoo Baba wawili Babu urojo mzee wa kilimo bila kumsahau ..Nimewamis wana familia.
Ahsante sana Anko kwa upendo...nawaombea Familia yote ikawe na Sikukuu njema pia.🙏Ukawe na sikukuu njema mamaangu. Muda wote u maombini mwangu,ahsante binti mwema