Mtakie usiku mwema na njozi njema rafiki, kipenzi au mtu wako wa unaempenda kutoka moyoni

Mtakie usiku mwema na njozi njema rafiki, kipenzi au mtu wako wa unaempenda kutoka moyoni

Usiku mwema Dada yangu emmyta Mwenyezi Mungu akujalie hekima na Maisha na marefu.

Bila kuwasahau marafiki wangu wote wa hapa JF, kwa hakika nikksema niwaorodheshe wote hapa sitawamaliza muwe na usiku mwema na muote njozi njema zenye kuakisi malengo na ndoto zenu za mafanikio.

Pia niwatakie wana JF wote usiku mwema endeleeni kuwa active ili kuifanya JF iwe imara kwani bila Member JF haiwezi kuitwa JF
Ahsante sana mdogo wangu japo dada yako ameshaamka.

Huu waraka inabidi nao tuuchukue mdogo wangu.
 
Back
Top Bottom