Mtakie usiku mwema na njozi njema rafiki, kipenzi au mtu wako wa unaempenda kutoka moyoni

Mtakie usiku mwema na njozi njema rafiki, kipenzi au mtu wako wa unaempenda kutoka moyoni

Usiku mwema Dada yangu emmyta Mwenyezi Mungu akujalie hekima na Maisha na marefu.

Bila kuwasahau marafiki wangu wote wa hapa JF, kwa hakika nikksema niwaorodheshe wote hapa sitawamaliza muwe na usiku mwema na muote njozi njema zenye kuakisi malengo na ndoto zenu za mafanikio.

Pia niwatakie wana JF wote usiku mwema endeleeni kuwa active ili kuifanya JF iwe imara kwani bila Member JF haiwezi kuitwa JF
Ameen mungu atubariki sote humu kilingeni Jf. Kwa kweli sifa na utukufu zote kwako mwenyezi mungu, unaetupatia pumzi za bure.
 
Have good night pumpkin....
Shleep weeell
Have naaaisssh dliiimms
As you are going to shleeep now
Have my kiss.....
Mmmuuaaahhhhh. ..

LET THE BED BUGS NOT BITE YOU.
HAVE A NICE SHUTEYE! !
Ubarikiwe sana mkuu
 
Back
Top Bottom