Usiku mwema my elvee nakutakia njozi njema na wimbo wa hello wa AdeleUsiku mwema kwa yeyote anayehusika.
Wakuu habari za kushinda, kama ilivyo ada binadamu tumeumbwa na upendo sio mbaya tukatakiana njozi njema na baraka tele usiku huu...mwenyezi mungu atupe ulinzi wake kwa ubaya wowote ule usitufikie Ameen...baada ya kusema hayo mie napenda kuwatakia watu wangu wote wa karibu wenye upendo na mimi, na wana jf wote napenda kuwatakia usiku mwema nyote.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Usiku mwema my x unanifanya usiku nakesha kwenye uzi wa" Jf Usku wa manane" nakuchukia Ulale uote unakimbizwa na msukule upo kaburini Umelala na makaniki shweeen ww
Wewe si nilikukataza hizi mambo, Bado unampenda huyu x ukiendelea hivyo jiandae kupata kihoroUsiku mwema my x unanifanya usiku nakesha kwenye uzi wa" Jf Usku wa manane" nakuchukia Ulale uote unakimbizwa na msukule upo kaburini Umelala na makaniki shweeen ww
Mimi bado natafuta....Usiku mwema Adam kipenzi cha moyo wangu nakupenda sana
Kila la heri mkuuMimi bado natafuta....
Nisaidie jinsi ya kupata kapeace:Kila la heri mkuu
Usiku mwema Adam kipenzi cha moyo wangu nakupenda sana
Duuh. Japo nimechelewa kuona hii.Usiku mwema emmtya
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Usiku mwema Adam kipenzi cha moyo wangu nakupenda sana
Mimi najipenda mimi kama mimi kwahy siitajii kumtakia mtuu yyte njozi njema kwan kama ni njozi njemaa wacha niziotee mwwnywe kila mtu ataotaa zakwakeeWakuu habari za kushinda, kama ilivyo ada binadamu tumeumbwa na upendo sio mbaya tukatakiana njozi njema na baraka tele usiku huu...mwenyezi mungu atupe ulinzi wake kwa ubaya wowote ule usitufikie Ameen...baada ya kusema hayo mie napenda kuwatakia watu wangu wote wa karibu wenye upendo na mimi, na wana jf wote napenda kuwatakia usiku mwema nyote.
We unataka msaada gani kwani?Nisaidie jinsi ya kupata kapeace:
Umeshapatikana Adam maana wanaume wote wapole na wastaarabu huwa nawatunuku kwa kuwaita Adam,Many thanks Eva
Adam aliumbwa nakunako ubavu wake akapatikana eva.....must be Kapeace
And I Adolay must be Adam
I love you sweetheart more and more.
[emoji7] morning baby girl[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]