Mtakie usiku mwema na njozi njema rafiki, kipenzi au mtu wako wa unaempenda kutoka moyoni

Mtakie usiku mwema na njozi njema rafiki, kipenzi au mtu wako wa unaempenda kutoka moyoni

Usiku mwema kwa yeyote anayehusika.
Usiku mwema my elvee nakutakia njozi njema na wimbo wa hello wa Adele
Wakuu habari za kushinda, kama ilivyo ada binadamu tumeumbwa na upendo sio mbaya tukatakiana njozi njema na baraka tele usiku huu...mwenyezi mungu atupe ulinzi wake kwa ubaya wowote ule usitufikie Ameen...baada ya kusema hayo mie napenda kuwatakia watu wangu wote wa karibu wenye upendo na mimi, na wana jf wote napenda kuwatakia usiku mwema nyote.
 
Usiku mwema my x unanifanya usiku nakesha kwenye uzi wa" Jf Usku wa manane" nakuchukia Ulale uote unakimbizwa na msukule upo kaburini Umelala na makaniki shweeen ww
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Usiku mwema na nyinyi pia muote ndoto saaaaafiiiii na nzuri malaika wema wawalinde na kuzunguka vitandani mwenu, na wenye wake mpate watoto 6. MAPACHA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Wakuu habari za kushinda, kama ilivyo ada binadamu tumeumbwa na upendo sio mbaya tukatakiana njozi njema na baraka tele usiku huu...mwenyezi mungu atupe ulinzi wake kwa ubaya wowote ule usitufikie Ameen...baada ya kusema hayo mie napenda kuwatakia watu wangu wote wa karibu wenye upendo na mimi, na wana jf wote napenda kuwatakia usiku mwema nyote.
Mimi najipenda mimi kama mimi kwahy siitajii kumtakia mtuu yyte njozi njema kwan kama ni njozi njemaa wacha niziotee mwwnywe kila mtu ataotaa zakwakee
 
Many thanks Eva

Adam aliumbwa nakunako ubavu wake akapatikana eva.....must be Kapeace

And I Adolay must be Adam

I love you sweetheart more and more.
Umeshapatikana Adam maana wanaume wote wapole na wastaarabu huwa nawatunuku kwa kuwaita Adam,

Umeamkaje Adam wangu
 
Back
Top Bottom