Mtakubali tu - LG opens first East Africa laundry shop in Nairobi

Mtakubali tu - LG opens first East Africa laundry shop in Nairobi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hamna namna ya kupenya soko la Afrika Mashariki na Kati bila baba lao Kenya kutia saini humo.

=========

Global electric giant LG Electronics has opened its first East Africa’s laundry shop in the country as it eyes the growing demand for washing services among low income and middle income earners.

The new facility, which is in partnership with LG’s products sole-distributor Hotpoint Appliance Limited, will be located at the Point Mall in Buruburu, Nairobi.

It will charge Sh600 for a seven-kilo clothes, including washing and drying, and targets item like sheets and duvets.

In an interview with Business Daily, LG Home Appliances (HA) marketing manager Eden Seo said the project took shape one year ago after a series of feasibility studies.

“We investigated customers’ demands then we realised that many people would like to buy washing machines but it is not easy,” Mr Seo said.

He noted that washing shops will be managed by franchisees with the company providing them with complete LG washer and dryer equipment installations and end-to-end business supports.

Whereas LG will provide the product, technology and functionality of the products, he said Hotpoint Appliance Limited will handle installations and franchise businesses.

“Some of the services that will be offered include washing, ironing and drying,” said Mr Seo.

He added that they (shops) will also offer pick-up and delivery services for customers unwilling to visit stores amid the Covid-19 pandemic.

Source: Business Daily
 
Nilifikiri wamefungua kiwanda kumbe duka la bidhaa zao
Mimi nilifikiri wamewekeza katika uzalishaji wa chakula, kwasababu tatizo kubwa la Kanya kwa sasa ni upatikaji wa chakula cha uhakika na bei nafuu, hayo mengine haya umuhimu wowote kwa 90% ya wakenya wa kawaida, hao wamewalenga UN staff, wazungu na 5% ya wakenya, lakini kwa wakenya wa kawaida "Reggae continues"

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Yani kufungua dry cleaner nayo imekuwa news kweli? Tena kwa franchise hao LG wameuza tu mashine zao. Haha.. hizo mbona ni biashara za kawaida sana na zinafanyika kila mahali? Au ishu ni kuwa na dry cleaner yenye mashine za LG pekee?
 
Mpaka sasa nawashangaa kwanini hamjashtuka kwanini Kenya inachaguliwa na wote, hakuna anayeingia ukanda huu bila sisi kuwa mwenyeji wake, mtapitwa na wote mpaka siku mtakapotia akili.
 
Mimi nilifikiri wamewekeza katika uzalishaji wa chakula, kwasababu tatizo kubwa la Kanya kwa sasa ni upatikaji wa chakula cha uhakika na bei nafuu, hayo mengine haya umuhimu wowote kwa 90% ya wakenya wa kawaida, hao wamewalenga UN staff, wazungu na 5% ya wakenya, lakini kwa wakenya wa kawaida "Reggae continues"

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kenya hamuiwezi, mtaendelea kutawaliwa na wahindi mpka nchi ikajifie.

Uchumi yani wameukamata hatari.
 
Kenya hamuiwezi, mtaendelea kutawaliwa na wahindi mpka nchi ikajifie..
Uchumi yani wameukamata hatari..
Kenya inaongoza kwa, njaa, unemployment, slums, Corruption, nepotism, crime, police brutality, political instability, tribalism, political assassinations, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
I thought Gikuyu&Luo car manufacturing industry kumbe hao mabeberu?
 
Mpaka sasa nawashangaa kwanini hamjashtuka kwanini Kenya inachaguliwa na wote, hakuna anayeingia ukanda huu bila sisi kuwa mwenyeji wake, mtapitwa na wote mpaka siku mtakapotia akili.

kenya inachaguliwa na nani? Kwani ndio mara ya kwanza LG kuuza hizo mashine hapa E.A? Mbona hata bongo kuna mawakala wa LG direct?

Mbona biashara za dry cleaner ni za kawaida sana mkuu? Halafu unajua maana ya franchise? Nani kamchagua nani hapo? Unadhani huyo anaeweka hiyo dry cleaner angekuwa na hela cash angewaita hao LG na kuingia ubia au angefunga mashine zozote za kufulia na kuanza kupiga biashara?
 
Yaani mashine za kufua nguo ndiyo unapigia kelele.

Nilifikiri utapigana fedha za SGR zirudi kwa sababu tayari mna loss kwa mujibu wa hesabu za miaka miwili. Na pesa za COVID-19? Yaani viongozi wenu wanakula mpaka pesa za kusaidia uhai wa Watu wewe unashangilia mashine za kufua nguo!

By the way nawasifu kwa kutututoa kimasomaso wana-Afrika Mashariki kwa ugunduzi wa gari la kisasa

383738_e061e8250b6132f0af9c3d97cb3bd06b.png
 
Yaani mashine za kufua nguo ndiyo unapigia kelele.

Nilifikiri utapigana fedha za SGR zirudi kwa sababu tayari mna loss kwa mujibu wa hesabu za miaka miwili. Na pesa za COVID-19? Yaani viongozi wenu wanakula mpaka pesa za kusaidia uhai wa Watu, wewe unashangilia mashine za kufua nguo!

By the way nawasifu kwa kutututoa kimasomaso wana-Afrika Mashariki kwa ugunduzi wa gari la kisasa

View attachment 1565237
QUALITY CONTROL 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
QUALITY CONTROL 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ndiyo mkuu, mashine imetoka department ya quality control na tayari kuingia sokoni. Bei yake Kshs.2,000,000. Hawa ndugu zetu si wa mchezomchezo, uliza bajeti ya kuitengeneza sasa!
 
Back
Top Bottom