Mtakubali tu - LG opens first East Africa laundry shop in Nairobi

kenya inachaguliwa na nani? Kwani ndio mara ya kwanza LG kuuza hizo mashine hapa E.A? Mbona hata bongo kuna mawakala wa LG direct?

Mbona biashara za dry cleaner ni za kawaida sana mkuu? Halafu unajua maana ya franchise? Nani kamchagua nani hapo? Unadhani huyo anaeweka hiyo dry cleaner angekuwa na hela cash angewaita hao LG na kuingia ubia au angefunga mashine zozote za kufulia na kuanza kupiga biashara?

Bila shaka hizi taarifa zimekupa chenga na sio wewe tu, ni pamoja na Watanzania wote waliotoa tamko humu, na hili ndilo tatizo alilozungumzia kuhusu Tundu Lissu, kingereza kinawatesa sana Watanzania na mtahangaika kwa muda mrefu, japo huo uzuzu wenu kwa kingereza ndio mtaji kwa baadhi yetu.
 
Huu ni upuuzi uliozidi kipimo kuja hapa kushangilia biashara za udobi. Tena upuuzi wa ngazi ya chini kabisa. Ila kabila nayo inachangia.. mdomo mrefu tu huku hamna lolote la maana.
 
Hehehe dah umeguswa penyewe, na bado mtakoma, kwa huo mwendo tu hakuna kuachia.....hadi raha.
 
Hamna namna ya kupenya soko la Afrika Mashariki na Kati bila baba lao Kenya kutia saini humo.

=========

Global electric giant LG Electronics has opened its first East Africa’s laundry shop in the country as it eyes the growing demand for washing services among low income and middle income earners.

The new facility, which is in partnership with LG’s products sole-distributor Hotpoint Appliance Limited, will be located at the Point Mall in Buruburu, Nairobi.

It will charge Sh600 for a seven-kilo clothes, including washing and drying, and targets item like sheets and duvets.

In an interview with Business Daily, LG Home Appliances (HA) marketing manager Eden Seo said the project took shape one year ago after a series of feasibility studies.

“We investigated customers’ demands then we realised that many people would like to buy washing machines but it is not easy,” Mr Seo said.

He noted that washing shops will be managed by franchisees with the company providing them with complete LG washer and dryer equipment installations and end-to-end business supports.

Whereas LG will provide the product, technology and functionality of the products, he said Hotpoint Appliance Limited will handle installations and franchise businesses.

“Some of the services that will be offered include washing, ironing and drying,” said Mr Seo.

He added that they (shops) will also offer pick-up and delivery services for customers unwilling to visit stores amid the Covid-19 pandemic.

Source: Business Daily
LG imekuwapo Tanzania Tena mwanza we hata mwanza hujawai fika
 
Hehehe dah umeguswa penyewe, na bado mtakoma, kwa huo mwendo tu hakuna kuachia.....hadi raha.

Kwani hiyo ndio dry cleaner ya kwanza hapo nairobi? Mbona husomeki wewe jamaa.. huo mdomo mdomo ambao matokeo sifuri ndio unaowaponza... kipi kipya hapo kwenye biashara ya udobi?
 
MK254,

You're too smart kufurahia vitu vya kijinga jinga kama hivi! Laundry Shop biashara inayoweza kufanywa na mamilioni ya Wakenya halafu ije kufanywa na Wakorea halafu bado unatamba kwa mikogo?!
 
Sasa kama hakuna jambo la maana mnataka afanyeje?, tafadhali mueleweni tu, unadhani kungekuwa na uwekezaji mkubwa angekumbuka kushabikia mradi wa kufua nguo?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
MK254,

You're too smart kufurahia vitu vya kijinga jinga kama hivi! Laundry Shop biashara inayoweza kufanywa na mamilioni ya Wakenya halafu ije kufanywa na Wakorea halafu bado unatamba kwa mikogo?!

Yaani hata mimi nimemshangaa, yaani kwa ujanjaujanja wake nilifikiri angechukulia taarifa kama hiyo kama aibu kubwa kwa wafanyabiashara wa Kikenya.

Ni sawa Mkorea aje hapa Tanzania na kuwekeza mashine kubwa pale Magomeni ya kunyonyoa Kuku wa kienyeji waliochinjwa wakati kazi hiyo inapatia mamia ya ajira kwa Vijana kwenye masoko ya Tandale, Manzese, Tandika, Kisutu na masoko mengine mengi sana Dar es Salaam.

Yaani Mtu mzima na akili timamu anafurahia faida ya kufua nguo kwenda Korea, halafu anasema hatujaelewa sentensi hata hiyo hapo chini!! Yaani MK254 anatamani kuwa Mzungu muingereza lakini ndiyo hivyo utabaki kuwa Shiny eye 'andu 'a nyumba mpaka kufa.

Global electric giant LG Electronics has opened its first East Africa’s laundry shop in the country as it eyes the growing demand for washing services among low income and middle income earners.

The new facility, which is in partnership with LG’s products sole-distributor Hotpoint Appliance Limited, will be located at the Point Mall in Buruburu, Nairobi.

It will charge Sh600 for a seven-kilo clothes, including washing and drying, and targets item like sheets and duvets.
 
bro kishtuka kwa kufungua dry cleaner..u cant be seriousy..
Mpaka sasa nawashangaa kwanini hamjashtuka kwanini Kenya inachaguliwa na wote, hakuna anayeingia ukanda huu bila sisi kuwa mwenyeji wake, mtapitwa na wote mpaka siku mtakapotia akili.
 
Yaani hata mimi nimemshangaa, yaani kwa ujanjaujanja wake nilifikiri angechukulia taarifa kama hiyo kama aibu kubwa kwa wafanyabiashara wa Kikenya.

Ni sawa Mkorea aje hapa Tanzania na kuwekeza mashine kubwa pale Magomeni ya kunyonyoa Kuku wa kienyeji waliochinjwa wakati kazi hiyo inapatia mamia ya ajira kwa Vijana kwenye masoko ya Tandale, Manzese, Tandika, Kisutu na masoko mengine mengi sana Dar es Salaam.

Yaani Mtu mzima na akili timamu anafurahia faida ya kufua nguo kwenda Korea, halafu anasema hatujaelewa sentensi hata hiyo hapo chini!! Yaani MK254 anatamani kuwa Mzungu muingereza lakini ndiyo hivyo utabaki kuwa Shiny eye 'andu 'a nyumba mpaka kufa.

Global electric giant LG Electronics has opened its first East Africa’s laundry shop in the country as it eyes the growing demand for washing services among low income and middle income earners.

The new facility, which is in partnership with LG’s products sole-distributor Hotpoint Appliance Limited, will be located at the Point Mall in Buruburu, Nairobi.

It will charge Sh600 for a seven-kilo clothes, including washing and drying, and targets item like sheets and duvets.

Mbona unajitoa ufahamu na kuruka hizi paragraphs
It was opened in partnership and collaboration with LG’s products sole-distributor Hotpoint Appliance Limited....
Whereas LG will provide the product, technology and functionality of the products, he said Hotpoint Appliance Limited will handle installations and franchise businesses.
 
Hamna namna ya kupenya soko la Afrika Mashariki na Kati bila baba lao Kenya kutia saini humo.

=========

Global electric giant LG Electronics has opened its first East Africa’s laundry shop in the country as it eyes the growing demand for washing services among low income and middle income earners.

The new facility, which is in partnership with LG’s products sole-distributor Hotpoint Appliance Limited, will be located at the Point Mall in Buruburu, Nairobi.

It will charge Sh600 for a seven-kilo clothes, including washing and drying, and targets item like sheets and duvets.

In an interview with Business Daily, LG Home Appliances (HA) marketing manager Eden Seo said the project took shape one year ago after a series of feasibility studies.

“We investigated customers’ demands then we realised that many people would like to buy washing machines but it is not easy,” Mr Seo said.

He noted that washing shops will be managed by franchisees with the company providing them with complete LG washer and dryer equipment installations and end-to-end business supports.

Whereas LG will provide the product, technology and functionality of the products, he said Hotpoint Appliance Limited will handle installations and franchise businesses.

“Some of the services that will be offered include washing, ironing and drying,” said Mr Seo.

He added that they (shops) will also offer pick-up and delivery services for customers unwilling to visit stores amid the Covid-19 pandemic.

Source: Business Daily
Wavivu sana nyie hadi nguo kufua mnatumia machine
 
Kweli tupo katika "levels" tofauti za maendeleo, wakati huku tunatangaza kandarasi wa ujenzi wa awamu nyingine ya SGR yenye thamani ya zaidi ya $2B kwa kutumia pesa yetu wenyewe, wenye kutengeneza ajira zaidi ya 13000, jirani anarukaruka kwa kuanzishwa mradi wa kufua nguo wenye thamani isiyozidi $100,000.ajira zisizozidi watu 20.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kweli tupo katika "levels" tofauti za maendeleo, wakati huku tunatangaza kandarasi wa ujenzi wa awamu nyingine ya SGR yenye thamani ya zaidi ya $2B kwa kutumia pesa yetu wenyewe, wenye kutengeneza ajira zaidi ya 13000, jirani anarukaruka kwa kuanzishwa mradi wa kufua nguo wenye thamani isiyozidi $100,000.ajira zisizozidi watu 20.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Dar Morogoro imewashinda hicho kipande kingine tutangoja hadi Yesu Arudi. wewe pinda mgongo ukitumia old technology kufulia nguo 2020.
 
Sawa.... Soon tutaelewana. Naona namba inasoma 21.38 sasa hivi...... Ngojeeni muone tutavyowapita kama MERCEDES inavyoipita IST barabara ya mkoa.....
Screenshot_20200911_112158.jpeg
 
Hamna namna ya kupenya soko la Afrika Mashariki na Kati bila baba lao Kenya kutia saini humo.

=========

Global electric giant LG Electronics has opened its first East Africa’s laundry shop in the country as it eyes the growing demand for washing services among low income and middle income earners.

The new facility, which is in partnership with LG’s products sole-distributor Hotpoint Appliance Limited, will be located at the Point Mall in Buruburu, Nairobi.

It will charge Sh600 for a seven-kilo clothes, including washing and drying, and targets item like sheets and duvets.

In an interview with Business Daily, LG Home Appliances (HA) marketing manager Eden Seo said the project took shape one year ago after a series of feasibility studies.

“We investigated customers’ demands then we realised that many people would like to buy washing machines but it is not easy,” Mr Seo said.

He noted that washing shops will be managed by franchisees with the company providing them with complete LG washer and dryer equipment installations and end-to-end business supports.

Whereas LG will provide the product, technology and functionality of the products, he said Hotpoint Appliance Limited will handle installations and franchise businesses.

“Some of the services that will be offered include washing, ironing and drying,” said Mr Seo.

He added that they (shops) will also offer pick-up and delivery services for customers unwilling to visit stores amid the Covid-19 pandemic.

Source: Business Daily
Kwa hio waBongo, Waganda, Warundi tutakuwa tunaleta nguo zetu huko Nai ilimtusafishie sio?
 
Back
Top Bottom