MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
-
- #21
kenya inachaguliwa na nani? Kwani ndio mara ya kwanza LG kuuza hizo mashine hapa E.A? Mbona hata bongo kuna mawakala wa LG direct?
Mbona biashara za dry cleaner ni za kawaida sana mkuu? Halafu unajua maana ya franchise? Nani kamchagua nani hapo? Unadhani huyo anaeweka hiyo dry cleaner angekuwa na hela cash angewaita hao LG na kuingia ubia au angefunga mashine zozote za kufulia na kuanza kupiga biashara?
Bila shaka hizi taarifa zimekupa chenga na sio wewe tu, ni pamoja na Watanzania wote waliotoa tamko humu, na hili ndilo tatizo alilozungumzia kuhusu Tundu Lissu, kingereza kinawatesa sana Watanzania na mtahangaika kwa muda mrefu, japo huo uzuzu wenu kwa kingereza ndio mtaji kwa baadhi yetu.