Mtakufa malofa na moto mtauingia kwa kuendekeza mpira

Unakutana na kikundi cha watu wameshughulika kuzungumza.Unadhani wanapanga mipango ya maana ya kiuchumi kumbe ni mpira wa jana au utakaochezwa leo.

Zamani ilikuwa ni ligi kuu mwaka mara moja na timu maarufu Tanzania ni Simba na Yanga.Sasa hivi ni ligi tu kila siku. Mara ligi ya benki, mara ligi ya nani. Ushabiki haupo wa timu kubwa peke yake bali hata timu za vichochoroni zinawashughulisha watu nchi nzima.

Wenzenu wanatia pesa mfukoni kwa kuuza ving'amuzi,nyinyi mnaliwa tu na kupiga makele.

Mwisho wa yote ni kuharibikiwa afya na kubaki maskini omba omba au kujiingiza kwenye utapeli.Ukiondoka duniani hutakuwa na majibu mazuri kwa Mola wako na moto utauingia.
Mpira ni umaskini.....mpira ni Mpango wa shetani
 
Kuna siku nilisikiliza shehe mmoja ati anasema ile mikeka wanaoweka watu wa kubeti ndio watakayo lalia huko jehanamu,🤣🤣🤣 hii dini ya kipumbafu naimejaa nadharia na kutishana sana wakati ni upuuzi mtupu.
 
Siku utakapoilalia hiyo mikeka ndio utamkumbuka huyu shehe.Na mara nyingi watu wa kubeti hawafi kabla hawajaanza kuitandika hapa hapa duniani kwa umasikini na uwendawazimu baada ya kufilisiwa.
 
Mshamba wewe faida ya kufuatilia mpira ni hii unafikiri sisi ni masikini kama wewe
 
Attachments

  • Screenshot_20240822-085322.jpg
    Screenshot_20240822-085322.jpg
    417.3 KB · Views: 2
Hamia afigan kwa matalebani,nasikia sahivi wamechoka kukaa ofisini wanataka vita warudi kwenhe mahandaki
 
Sasa mkuu mtu kuna mtu kaja kukuomba pesa kisa anashabikia mpira ? Au kipindi hamshabikii mpira kama taifa mlifanya kitu gani cha muhimu 🤔😂😂
Bwana wee utadhani watu wenyewe kuna la maana tunachangia hapa duniani. Wacha watu tucheki jinsi zeluzelu wa kidhungu anavyopiga passs za assist mpaka moyo unafurahi.
Au u aona jinsi kipara pep anavyopanga formation startegy tactics zake hadi raha.
 
Hamia afigan kwa matalebani,nasikia sahivi wamechoka kukaa ofisini wanataka vita warudi kwenhe mahandaki
Hao taliban ndio wanaume wa shoka sasa.
Long live the talibans
Love or leave afghanistan
 
Wabongo kila mtu ni mjuaji kisa tu ana miliki smart phone.

Atakubishia mpaka unashangaa mwenyewe.
 
Kizuri ni kwamba wasiopenda mpira ni masikini zaidi
Nawajua wengi ambao wakijikuna wanatoka unga kwa umasikini lakini wana uwezo wa kuzipanga safu za mbele na nyuma za timu zote.Matajiri wa mpira ni asimilia ndogo sana pamoja na wauza visembuzi.
Maradhi mabaya sana haya.
 
Unakutana na kikundi cha watu wameshughulika kuzungumza.Unadhani wanapanga mipango ya maana ya kiuchumi kumbe ni mpira wa jana au utakaochezwa leo.

Zamani ilikuwa ni ligi kuu mwaka mara moja na timu maarufu Tanzania ni Simba na Yanga.Sasa hivi ni ligi tu kila siku. Mara ligi ya benki, mara ligi ya nani. Ushabiki haupo wa timu kubwa peke yake bali hata timu za vichochoroni zinawashughulisha watu nchi nzima.

Wenzenu wanatia pesa mfukoni kwa kuuza ving'amuzi,nyinyi mnaliwa tu na kupiga makele.

Mwisho wa yote ni kuharibikiwa afya na kubaki maskini omba omba au kujiingiza kwenye utapeli.Ukiondoka duniani hutakuwa na majibu mazuri kwa Mola wako na moto utauingia.
Acha umbumbumbu ww, kwani huyo Mungu mwenye moto ni shabiki wa timu gani ya Mpira hadi akasirike timu yake ikifungwa aweke watu motoni?
 
Nilicheka mbavu sina, mpaka nacheka kama mwehu vile! Kababu fulani kalitoa machozi baada ya kuweka rehani pesa yake 50000, ambayo ni mtaji wake, kwa mashindano ya simba na yanga na ikaliwa. Hakika tutakufa masikini kwa mashindano ya jinsi hii. Tujenge fikra za kimaendeleo, nitafanya nini ili kipato kiongezeke?
 
Acha umbumbumbu ww, kwani huyo Mungu mwenye moto ni shabiki wa timu gani ya Mpira hadi akasirike timu yake ikifungwa aweke watu motoni?
Allah si mpenzi wa timu na hawezi kuwa na upenzi wa kipuuzi kama huo.Anaowapenda ni wachamungu peke yao,
Wachezaji mpira na washangiliaji wao wameitwa ni wapuuzi.
 
Back
Top Bottom