Mtakuja kutuua...

Mmmhhh!! kweli saa 5 mtu hajafika safr au umeongeza na chumvi!!
 
Vumbi la Kongo la kijinga sana.

Kama kawaida yangu huwa sipendi kusimuliwa, jamaa yangu mmoja kaja nalo kutoka kwa mchezaji mmoja wa club ya mpira sijui wanatoaga wapi.

Akanielekeza namna ya kutumia, siku hiyo kuna kidemu flani kimeshanilia vihela vyangu vya kubeba mizigo K/koo nikasema wacha nifunge vumbi leo, aisee vumbi upuuzi maana sijakojoa mpaka tukaghairi tukaenda kula na kuzurura.

Tumerudi saa tano usiku tukaanza game nimekuja kukojoa baada ya muda mrefu, styles zote zimeisha, tumetoka room tumehamia bafuni kote tunatafuta bao tu.


Sitaki tena hilo vumbi maana ni mateso tu sijaenjoi chochote zaidi ya kuteseka[emoji3][emoji3]
 
Wanaume wenzangu tusiache kutumia vumbi inaonekana tumewashika pabaya tukazie hapohapo
 
Looh
 
Shemelaaaa..... Unavumilia tu... we usijali kama ni nguvu za asili, au za vumbi la kwa olomide au glucose... AHahahahahahaa we injoi ze show shemelaa..!!! Ukizingatia mtima umeridhia gwaride hilo..
 
Na mnawapataga hao wa kuwalala mbaka masaa. Mmh
 
Ha ha ha ha ha haaaah, na ukila vya watu ukawa unarukaruka siku ukipatikana ndo huwa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…