Mtakuja kutuua...

Niliblock namba bro, baada ya siku tatu mwili kupoa, na organ zote za mwili kurudi katika hali ya kawaida nikarudi kwa ile number taratibu nikai unblock....
Lazima ugongwe tena aisee... Hata leba tunaapa hatushiki mimba tena ila ukishapakata kichanga mikononi mara unatania miguu tena... Chezea Biology weye!!!!
 
Njoo kwetu vibabu 70, hahahaaaaaaa! Hiyo umeikuta wapi mama nanihiiii?
 
Nliweka barafu, ahsante
maji ya moto juu ya moto!!!hunipendi
pale pale unapotoka uwanja wa kuchinjiwa jikaze jisafishe vizuri.

Piga yowe lakini jua usipojisafisha vizuri basi samsing down zea won't be fine the next day.

Then kazana kufanya kegels. You will be fine.

A good pounding is very healthy for the vee 😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…