kujua visentensi viwili vitatu ndio fahari yako? lugha unapofundishwa unapaswa kujua kuiandika, kuisoma, na kuizungumza kwa mawasiliano, wewe uliambulia lipi kati ya hayo kama si utoto wa fikra unakusumbua?Ujinga wako usituletee jamvini. Unamaanisha nini? Kama hujui ni upuuzi wako. Kwani kama itakuwa ni hoja mbona watu wanamaliza form four na English bado haijakaa vizuri kichwani? Mimi nilisoma tanzania nikamaliza darasa la saba nikijua kuongea sentensi za kiingereza. Nilikuwa natilia juhudi binafsi nikijua mwalimu hawezi kukupatia asilimia zote. Ila namshukuru Mungu waalimu wangu hawakuwa wabaya. Walinitia moyo na kufanya yote yawezekane. Pole kwa uzembe wako. Kesho utuambie na Hesabu iondolewe. Maskini wa ubongo.
ukawa na uwezo wa kuwasiliana kwa kiingereza kama kiswahili na ukawa na uwezo wa kusoma na kuelewa maandiko ya kiingereza rahisi kama kiswahili na ukawa na uwezo wa kuandika mawazo yako kwa kiingereza? nahisi unamheshimu Mungu. majibu tafadhalimwalimu wako mbovu mim nilijua kiingereza nikiwa nasoma shule ya msingi... tena msondo ngoma
ukawa na uwezo wa kuwasiliana kwa kiingereza kama kiswahili na ukawa na uwezo wa kusoma na kuelewa maandiko ya kiingereza rahisi kama kiswahili na ukawa na uwezo wa kuandika mawazo yako kwa kiingereza? nahisi unamheshimu Mungu. majibu tafadhali
nataka ajibu yeye, kwa kuwa unamsaidia well, soma vizuri hoja maana hujaelewa pia, kiswali nilifundishwa kuanzia la kwanza nikapata uwezo wa kusoma kiswahili, kuandika na kuiongea kiswahili pamoja na kwamba lugha yangu toka utotoni ilikuwa kisukuma. kwa hiyo nilitegemea kiingereza nikielewe kama kiswahiliWatu wanapata walau msingi wa hiyo lugha mkuu. Kwa swali lako kwa miss chagga ni sawa na kutaka mtoto wa darasa la saba aweze kufanya integration kisa kasoma hesabu.
Ujinga wako usituletee jamvini. Unamaanisha nini? Kama hujui ni upuuzi wako. Kwani kama itakuwa ni hoja mbona watu wanamaliza form four na English bado haijakaa vizuri kichwani? Mimi nilisoma tanzania nikamaliza darasa la saba nikijua kuongea sentensi za kiingereza. Nilikuwa natilia juhudi binafsi nikijua mwalimu hawezi kukupatia asilimia zote. Ila namshukuru Mungu waalimu wangu hawakuwa wabaya. Walinitia moyo na kufanya yote yawezekane. Pole kwa uzembe wako. Kesho utuambie na Hesabu iondolewe. Maskini wa ubongo.
nataka ajibu yeye, kwa kuwa unamsaidia well, soma vizuri hoja maana hujaelewa pia, kiswali nilifundishwa kuanzia la kwanza nikapata uwezo wa kusoma kiswahili, kuandika na kuiongea kiswahili pamoja na kwamba lugha yangu toka utotoni ilikuwa kisukuma. kwa hiyo nilitegemea kiingereza nikielewe kama kiswahili
nadhani kiswahili ndio kifutwe... uswahili umezidi maofisini..
lugha ya kiofisi iwe english tu... kiswahili kiwe kama lugha nyingine angalau tutasonga mbele.
mimi sioni kabisa msaada wa hili somo hata likifutwa, nilimaliza shule ya msingi sijui chochote kuhusu kiingereza
kujua visentensi viwili vitatu ndio fahari yako? lugha unapofundishwa unapaswa kujua kuiandika, kuisoma, na kuizungumza kwa mawasiliano, wewe uliambulia lipi kati ya hayo kama si utoto wa fikra unakusumbua?
Haunitakii mema dadiiii
mantiki ya mfano wa INTERGRATION ni ishara kuwa hukusoma vizuri, niliandika KIINGEREZA RAHISI nikimaanisha kwa level ya primary. INTERGRATION ni ngumu kuliko hata proffesional english na wewe umeona KIINGEREZA RAHISI=INTERGRATIONWatu wanapata walau msingi wa hiyo lugha mkuu. Kwa swali lako kwa miss chagga ni sawa na kutaka mtoto wa darasa la saba aweze kufanya integration kisa kasoma hesabu.
tindikali, swali what is acid? hesabu AB ni sambamba na CD,tafuta thamani ya X? Ukaletewa if AB is parallel to CD find X. Eti ukaelewa na kujibu kwa kimombo, uongo mwingine.Sijiu nafasi yako lakini mimi binafsi nilisoma primary za serikali na kwa kiingereza hicho hicho cha primary niliweza kuomba maji na kufanya mitihani ya kujiunga na kidato cha kwanza iliyoandaliwa kwa kiingereza, hali kadhalika ndugu zangu pia. Na ndio maana nimesema inakupa msingi kama ilivyo kwa hisabati na masomo mengine. Jambo la zaidi ya kujadili nafikiri ni ufanisi wa walimu wa kiingereza kwa shule za msingi huenda hapo ndipo shida inapnzia. N.B nimepitia elimu ya msingi miaka ya 90 mwanzoni.