Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,126
- Thread starter
- #41
samahani! elimu yako ni ya kiwango kipi? maani huelewi kabisa kila nikiandika unaelewa tofauti, nimeandika TZ INASAIDIA UWEPO WA KISWAHILI KWENYE MATAIFA MENGINE, nikimaanisha chanzo cha kukua na uwepo wa kiswahili kwa sasa ni sisi, sikumaanisha chimbuko na asili ya kiswahlMSHINGA sidhani kama chimbuko la kiswahili kuwa tz. Hata wataalamu wa lugha hawajaweza kutupatia taarifa yakinifu kuhusiana na chimbuko la lugha ya kiswahili. Ukija huku kenya utawakuta wazungumzaji na wataalamu wazuri zaidi ya tanzania. Hata mtihani wa kiswahili kenya hufaulu zaidi ya kiingereza. Mimi mwenyewe mtanzania lakini kiswahili darasani nikiri nilikuwa hovyo sana. Japo nilifaulu hilo somo.