Mtakuja primary school na english ya Shule ya Msingi

Mtakuja primary school na english ya Shule ya Msingi

MSHINGA sidhani kama chimbuko la kiswahili kuwa tz. Hata wataalamu wa lugha hawajaweza kutupatia taarifa yakinifu kuhusiana na chimbuko la lugha ya kiswahili. Ukija huku kenya utawakuta wazungumzaji na wataalamu wazuri zaidi ya tanzania. Hata mtihani wa kiswahili kenya hufaulu zaidi ya kiingereza. Mimi mwenyewe mtanzania lakini kiswahili darasani nikiri nilikuwa hovyo sana. Japo nilifaulu hilo somo.
samahani! elimu yako ni ya kiwango kipi? maani huelewi kabisa kila nikiandika unaelewa tofauti, nimeandika TZ INASAIDIA UWEPO WA KISWAHILI KWENYE MATAIFA MENGINE, nikimaanisha chanzo cha kukua na uwepo wa kiswahili kwa sasa ni sisi, sikumaanisha chimbuko na asili ya kiswahl
 
Kwani mkuu faida ya somo fulani ni kwa kuinufaisha serikali au maarifa ya somo husika huwa ni faida kwa msomaji?
faida kwa taifa na kwa msomaji, tatizo ni kwambo malengo yake yameshindikana hivyo hata kwa wanafunzi wanamaliza na hawajui kabisa kiingereza
 
samahani! elimu yako ni ya kiwango kipi? maani huelewi kabisa kila nikiandika unaelewa tofauti, nimeandika TZ INASAIDIA UWEPO WA KISWAHILI KWENYE MATAIFA MENGINE, nikimaanisha chanzo cha kukua na uwepo wa kiswahili kwa sasa ni sisi, sikumaanisha chimbuko na asili ya kiswahl

Elimu yangu kwako haitokuwa na value. Na sijui ulipoandika we are the source ulimaanisha nini? Neno hilo haliwezi kutasifiriwa jinsi ulivyoandika. Kajifunze kiingereza mkuu. Inaonesha jinsi ulivyo hayawani na unataka hilo somo lifutwe kwa sababu za wivu. Pole sana.
 
nimeikumbuka hii story ya Mtakuja primary school shule ya msingi. Hoja si hiyo.

Hivi nini msaada na ufanisi wa somo la kiingereza shule za msingi za serikali?

Kila mtu ana maoni yake ila mimi sioni kabisa msaada wa hili somo hata likifutwa, nilimaliza shule ya msingi sijui chochote kuhusu kiingereza

Ni wewe tu, mimi nilikuwa nazielewa vizuri tu hizo stories; nakumbuka Mwalimu wetu alikuwa anatuteua watu wachache darasani halafu anatuambia tusome kwa kuachiana para na kisha tunatafsiri kwa kiswahili.
 
Back
Top Bottom