Mtakuja primary school na english ya Shule ya Msingi

Mkuu kuna msemo mmoja ambao ni mithali ya Wachina wanasema: "Asiyejua asimshauri yule anayejua au anayejaribu kufanya".
huu msemo haunistahili, wakati sijui sikushauri anaejua wala aliyejaribu kufanya, kwa sasa najua kwa upana mkubwa sana na ndio mana nasema hili somo halina kabisa msaada kwa shule za serikali na anaebisha alete ushahidi
 
mbona hueleweki, ulikuwa unasoma shule za tanzania kwa kiswahili ila ulijua kiingereza, hapo hapo ulikuwa unasali nairobi kwa kiingereza alafu unajua sala za kiswahili. uongo huu ama ni mkubwa sana
 
mh mh hyo ngumu kumeza lazima atapike huyo mleta mada.
fatilia udhaifu mkubwa wa maelezo ya huyo jamaa na uongo wake kwenye maandishi yake mengine, hakuna hoja ngumu aliyotoa zaidi ya kupungukiwa busara na kutukana matusi
 
nadhani kiswahili ndio kifutwe... uswahili umezidi maofisini.. lugha ya kiofisi iwe english tu... kiswahili kiwe kama lugha nyingine angalau tutasonga mbele.
kiswahili kiachwe tu shule ya msingi huko huko ila kiingereza kianzie form one. maana watanzania wengi chini ya miaka 8 wanaongea lugha za makabila takribani asilimia 15 ya watanzania wote
 
Bosi wangu ana English kali sana
Wesleigh,
Please see attached from Bujiku, I do
not get the point for what reason I
can’t exported.
The information requested are also not
know on my site and will be very
difficult/impossible to get on time.
May you can do something on your
site about.
Regards
Adrian Ene
 
When giving a post to be discussed you must be ready to accept whatever the challenge encoutered. Some would be harsh when others polite.
no challenge given, just escalative words like what you did in your first reply and that is a sign of ignorant and immaturity
 
kiswahili kitakufa mana watoto wengi chini ya miaka 9 hawajui kiswahili na wanatumia lugha za makabila yao.
 
Mnakimbilia kusema kiswahilh tu! mbona baazi ya maeneo wanajifunza tu km kingereza
 
Nashangaa kuona comment yangu imefutwa. Niliiandika usiku wa tar 18/03. Saa 2258. Mtoa mada ilikukera nini?
 
labda umetukana mkuu ndo maana mods wameifutaa

Nakuhakikishia hata neno mjinga sikulitiliamo. Niliandika kumjibu mtoa mada na huenda yeye ndo amefuta. Tena niliandika kwa kiingereza na unajua kiingereza hata utukane bado uzito unapungua. Nina uhakika mtoa mada ndo atakuwa ameiondoa.
 
huu msemo haunistahili, wakati sijui sikushauri anaejua wala aliyejaribu kufanya, kwa sasa najua kwa upana mkubwa sana na ndio mana nasema hili somo halina kabisa msaada kwa shule za serikali na anaebisha alete ushahidi

Kwani mkuu faida ya somo fulani ni kwa kuinufaisha serikali au maarifa ya somo husika huwa ni faida kwa msomaji?
 
labda umetukana mkuu ndo maana mods wameifutaa
haijafutwa, ni yeye na papara zake, ipo na ni koment ya awali kabisa na katukana alivyo na akili za ajabu, nilimjibu kistaarabu tu, na kuna mwingine ka quote hiyo comment
 
kitakufaje,,c kutakuwa na somo la kiswahili. Kenya wanawezaje?
nilimaanisha kuwa wazungumzaji wa kiswahili watazidi kupungua kwa kuwa wengi wanaelewa shule ya msingi, na kitabaki kwa wachache, alafu sisi tz ndo tunasaidia uwepo wa kiswahili kwenye mataifa mengine, we are the source
 
haijafutwa, ni yeye na papara zake, ipo na ni koment ya awali kabisa na katukana alivyo na akili za ajabu, nilimjibu kistaarabu tu, na kuna mwingine ka quote hiyo comment

Mshinga, nimeanisha hadi tar na mda. Ni jana usiku na wala sii ile ya mwanzoni. Halafu ukitaka mada yako iwe na mashiko yakupasa kuwa mpole hata kama komenti ina maudhi.
 
nilimaanisha kuwa wazungumzaji wa kiswahili watazidi kupungua kwa kuwa wengi wanaelewa shule ya msingi, na kitabaki kwa wachache, alafu sisi tz ndo tunasaidia uwepo wa kiswahili kwenye mataifa mengine, we are the source

MSHINGA sidhani kama chimbuko la kiswahili kuwa tz. Hata wataalamu wa lugha hawajaweza kutupatia taarifa yakinifu kuhusiana na chimbuko la lugha ya kiswahili. Ukija huku kenya utawakuta wazungumzaji na wataalamu wazuri zaidi ya tanzania. Hata mtihani wa kiswahili kenya hufaulu zaidi ya kiingereza. Mimi mwenyewe mtanzania lakini kiswahili darasani nikiri nilikuwa hovyo sana. Japo nilifaulu hilo somo.
 
mbona hueleweki, ulikuwa unasoma shule za tanzania kwa kiswahili ila ulijua kiingereza, hapo hapo ulikuwa unasali nairobi kwa kiingereza alafu unajua sala za kiswahili. uongo huu ama ni mkubwa sana

Mkuu sii uwongo bali sikufanyia editing. Pa sala ni kwa kiingereza. Kwani kusoma tanzania ndo kuishi tanzania? Ndiyo nimesoma huko tz. Ila tukiacha maneno mengi ni kwamba ENGLISH SUBJECT IN PRIMARY LEVEL IS OF THE VITAL IMPORTANCE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…