Mtakuja primary school na english ya Shule ya Msingi

samahani! elimu yako ni ya kiwango kipi? maani huelewi kabisa kila nikiandika unaelewa tofauti, nimeandika TZ INASAIDIA UWEPO WA KISWAHILI KWENYE MATAIFA MENGINE, nikimaanisha chanzo cha kukua na uwepo wa kiswahili kwa sasa ni sisi, sikumaanisha chimbuko na asili ya kiswahl
 
Kwani mkuu faida ya somo fulani ni kwa kuinufaisha serikali au maarifa ya somo husika huwa ni faida kwa msomaji?
faida kwa taifa na kwa msomaji, tatizo ni kwambo malengo yake yameshindikana hivyo hata kwa wanafunzi wanamaliza na hawajui kabisa kiingereza
 

Elimu yangu kwako haitokuwa na value. Na sijui ulipoandika we are the source ulimaanisha nini? Neno hilo haliwezi kutasifiriwa jinsi ulivyoandika. Kajifunze kiingereza mkuu. Inaonesha jinsi ulivyo hayawani na unataka hilo somo lifutwe kwa sababu za wivu. Pole sana.
 

Ni wewe tu, mimi nilikuwa nazielewa vizuri tu hizo stories; nakumbuka Mwalimu wetu alikuwa anatuteua watu wachache darasani halafu anatuambia tusome kwa kuachiana para na kisha tunatafsiri kwa kiswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…