Acha tu tuvunjike bana hiyo kiatu ina raha yake[emoji3]
Kuna siku nimetoka zangu church Kuna wadada walikuwa nyuma yangu nikawasikia wananisema eti "mi siwezi hicho kiatu Kama fashoni zinipitege asa akiteleza kwenye marumaru halafu kanisani[emoji849]
Nikageuka niwaone wanaoongea eh![emoji54] matukunyema,ikabidi nijichekee tu.. nikasema halali yenu kusema[emoji3]
Sent using
Jamii Forums mobile app