Mtalaam / mtu gani unamuhitaji katika kazi/biashara zako?

Mtalaam / mtu gani unamuhitaji katika kazi/biashara zako?

v0il0r

Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
24
Reaction score
26
Huu Uzi wa kubadilishana contacts za kazi / baishara, mfano ww ni muuza duka unahitaji msaidizi wa kukuza, au una biashara flani unahitaji supplier ,

Taja aina ya mtu unayemuhitaji, wahitaji wakiona mna kubalina mfanye kazi.
 
Mi nahitaji supplier wa building materials na tools as well.

Anyone interested ani PM
 
Mimi fundi umeme nahitaji kazi ya kufanya wiring iwe ni majumbani au kiwandani nipo tayari kwenda mikoani, karibuni sana
 
-> social media manager + marketing

-> Daressalaam

Kama unahitaji mtu wa biashara/kazi/kampuni yake kuwa mtandaoni na kuongeza wateja, kujitangaza online na sponsored ads, graphics design hasa za kazi zake/bidhaa ...ku-handle customer support, na marketing/Masoko kutafuta
wateja online & offline campings

Nicheki PM
 
Back
Top Bottom